Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,812
Nani sasa aliyemdhalilisha mwenzake hapo? Mleta uzi, mpiga picha au mhusika mwenyewe kwa kufuga hayo manyama zembe.Huu ni udhalilishaji wa WANAWAKE
Hakuna udhalilishaji wowote hapo akafanye mazoezi kupunguza mwili na kutambua mlo sahihi