IPE MANENO PICHA YANGu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,147
JAMAA HUYU ANAOMBA AALIKWE ILI AONESHE NGUVU ALIZOJAALIWA KUBEBA SCANIA
HAYA MWENYE KUTAKA GHARAMA NI NAFUU APEWE KULA TU MBUZI MMOJA NA WALI SHABA MOJA!


 
Ooyooo mtu kama huyu ni kazi kubwa ni kwenda kula na kwenda msalani na kulala tu lakini wazo la mke ni tafauti kati ya mbengu na ardhi na hata hicho kipisi cha sigara huwa hakipo ni yupo yupo tu kama usiku wa kiiza
 
Ngojeni kwanza viongozi,mbona nyote
mnakwepa kutoa mwaliko na kukimbilia
mke..watoto...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…