Ipe maneno picha yangu ya leo

Ipe maneno picha yangu ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
262090_196102200440832_2804837_n.jpg
 
ila sisi bwana! badala ya kumpokea mzigo tunakimbilia kunyonya mtiti, wanaume siiio!
 
TITI LA MAMA

Titi la mama litamu,hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika palipozibwa,
Titile mama litamu ,Jingine halishi hamu.

Lugha yangu ya utoto,hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito,sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato,moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto,napita nikitumia,
Titile mama litamu,jingine halishi hamu.

..............................By Shaban Rorbert
copy: AshaDii

 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mjamzito,katoka shamba ana mtoto kabeba na mizigo mingine jamaa badala ya kumpokea ye anaendelea kukamua, tatizo liko kwenye RANGI ya hiyo suruali kama jamaa wa sehemu flani hiv...
 
Kongosho, kuna dogo anakupiga chabo ile nyumba ya nyuma.:wave:
 
TITI LA MAMA

Titi la mama litamu,hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika palipozibwa,
Titile mama litamu ,Jingine halishi hamu.

Lugha yangu ya utoto,hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito,sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato,moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto,napita nikitumia,
Titile mama litamu,jingine halishi hamu.

..............................By Shaban Rorbert
copy: AshaDii

Haaa kumbe tunae malenga :smile-big::smile-big::smile-big:
 
Mhhh abande huyo anakurrra kyakurrra kya mutoto ni kumuharrasi na kumuchapa makobhii mara moja
 
Mtoto mgongoni,mimba tumboni,kuni kichwani...ding nae anajisevia
Aisee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom