Ipe maneno picha hii

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
14,370
20,229
2e246660_5af7_40e8_a359_dbe444003214.jpg

cc: mshana jr
 
Last edited by a moderator:
hapo lazima ufaulu Physics kwa alama za juu bila kupenda. NB: Ila kwa kweli walimu wanajukumu zito sana. Hasa kwa shule za vijijini.

Mimi ni mwalimu by professional najua vizuri ugumu wa hiyo kazi
 
Hivyo ni vitendea kazi tu. Sasa kama wanafunzi ni wengi darasani kuliko kawaida, wewe unataka achukue fimbo kiasi gani? Fanya hesabu ya kawaida. Fimbo moja kwa wanafunzi wanne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom