Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 639
- 1,772
-----
Mimi naanza
Naitwa Mwizukulu wa Buganda, Natokea Mbarara Uganda, ni mfanyabiashara wa Kahawa na Sijaoa. Natoa milioni 50 kama mchango wa kanisa.
Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura mojaNi mshangao baada ya kuambiwa kua,
"Nyie wote hakuna mwenye sifa ya kuajiriwa kwenye hii taasisi,
Wote mmefeli kwenye interview!
Picha za AI hizo bwashee.Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura moja