siku aliyoapishwa chattle masterHii ilikuwa wapi
Mugabe only.Too many comrades in one picture
Wapi hio?Too many comrades in one picture
aliyepiga hii picha anatakiwa apewe pongezi maana inapaswa iingizwe kwenye genes book of records. Kuwaotea madictator wanne kwenye picha moja sio kazi ndogo ati!!!Too many comrades in one picture
JF kweli kuna watu wapekuzi,huyu kwahiyo ndiyo yule mama yetu first lady au ilikuwa bado hawajakuwa pamoja..??