Wananchi au watu huwa ni wapole na wanakuwa wamejikalia tuu na mambo yao. Serikali inakuja kuwachokoza na kusababisha mwananchi apandishe hasira hivo kuanza kurumbana na serikali. Serikali anakimbia mbio na kujificha nyuma ya mgongo wa polisi hapo mwananchi anafunga breki maana ataambulia marungu na akipona risasi basi ataswekwa rumande au jela.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.