Ipe maneno hii picha

Dr na mbowe, Dr JK anamwambia" we bwana kuna wakati unakuwa na point sana na una hekima, unajua ishu nyingine ni kuzungumza kwa ustarabu mana upinzani si kupinga kila kitu"
 
Bilal na Mamvi
...Kwakweli bunge linapaswa likuombe radhi.
 
Mamvi: Jimboni kwangu kuna kisima kinahitaji kuzinduliwa, vipi lini uko fit kuja?

Dinho: Unauliza ndevu kwa Osama, anytime we nishtue tu nitakuja, tena hata msiandae mkasi maana ninao wangu spesho wa kufanyia uzinduzi tu...
 
Mamvi: Jimboni kwangu kuna kisima kinahitaji kuzinduliwa, vipi lini uko fit kuja?

Dinho: Unauliza ndevu kwa Osama, anytime we nishtue tu nitakuja, tena hata msiandae mkasi maana ninao wangu spesho wa kufanyia uzinduzi tu...

kwi kwii kwiii eti dinyo
 
JK-Mbowe jk_Dah.. siku ile mlitaka kutoka tena nini ?Mbowe —Oooh no ila kit I kama kingeendelea kuleta ukinu vijana walishaamua tofatuti.

Mamvi- Dino _Mamvi aagh..jamaa mbona simsomi poa hapo aisee au mikwara ya ukawa ishaanza kumtia wenge nini? Mwambie mimi sio boya akinichukulia poa minitamwaga ugali oooh ...kwanza Bilali kanipigia juzi tu nikamwambia atulie kwanza ....-Dino...hahahahaaa usifike huko bhana sio ajabu jamaa wanayajenga kuhusu ESCROW we siuliona mzigo ukivyokaa vibaya ule ukifanya masihara ESCROW inaweza kuathiri hata ndoto yako aisee.
 
kwi kwii kwiii eti dinyo

Picha huzungumza zaidi...

drbilal2.jpg


ruslentanews.com_brazilskiy-futbolist-ronaldino-1-yanvarya-mozhet-stat-igrokom-tureckogo-beshiktasha_1.jpeg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom