HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 May 3, 2012 #21 Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo
Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 3, 2012 Thread starter #22 HOMOSAPIEN said: Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo Click to expand... Tatizo ni kwamba mtazamo na matendo huwa havipishani, kwahiyo kama akili ipo kwenye manufaa binafsi, vitendo haviwezi kuwa vya kizalendo
HOMOSAPIEN said: Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo Click to expand... Tatizo ni kwamba mtazamo na matendo huwa havipishani, kwahiyo kama akili ipo kwenye manufaa binafsi, vitendo haviwezi kuwa vya kizalendo
kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 May 3, 2012 #23 Kwa kitendo cha kuendesha baskeli anaonyesha kuwa hapendi makuu,anajishusha.
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 May 3, 2012 #24 Kiongozi aliyeyaishi maneno yake na falsafa!
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 3, 2012 Thread starter #25 jouneGwalu said: Kiongozi aliyeyaishi maneno yake na falsafa! Click to expand... sure, hakuwa na maneno mengi bila utendaji
jouneGwalu said: Kiongozi aliyeyaishi maneno yake na falsafa! Click to expand... sure, hakuwa na maneno mengi bila utendaji
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 3, 2012 Thread starter #26 kingfish said: Kwa kitendo cha kuendesha baskeli anaonyesha kuwa hapendi makuu,anajishusha. Click to expand... Sure na ndipo heshima inatokea kwa kujishusha, sio kujikweza.
kingfish said: Kwa kitendo cha kuendesha baskeli anaonyesha kuwa hapendi makuu,anajishusha. Click to expand... Sure na ndipo heshima inatokea kwa kujishusha, sio kujikweza.
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,468 Reaction score 7,257 May 4, 2012 #27 MWANA WA UFALME said: Hela ya uma ilikuwepo ila ilikuwa imekwenda kuanzisha viwanda ambavyo sasa vimefilisiwa Click to expand... Then yule mtoto wa Chigwiyemisi anasema mwalimu alikuwa hajui uchumi!! Kweli walisema waswahili, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!! Yeye anawaza shibe yake tu......!!? Ubunge atausikia tu ..... kula kulala! ....................
MWANA WA UFALME said: Hela ya uma ilikuwepo ila ilikuwa imekwenda kuanzisha viwanda ambavyo sasa vimefilisiwa Click to expand... Then yule mtoto wa Chigwiyemisi anasema mwalimu alikuwa hajui uchumi!! Kweli walisema waswahili, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!! Yeye anawaza shibe yake tu......!!? Ubunge atausikia tu ..... kula kulala! ....................
M Marygrayce Member Joined May 3, 2012 Posts 13 Reaction score 2 May 4, 2012 #28 mtu acyependa kujikweza
mbisom ramos JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 812 Reaction score 396 May 4, 2012 #29 Mwalimu alikuwa wa ukweli!!!!!
gulio JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 296 Reaction score 68 May 4, 2012 #30 Inaonyesha umakini wa kule aendako kwa ku - "balance" mwendo- mapato
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 4, 2012 Thread starter #31 Mzizi wa Mbuyu said: Then yule mtoto wa Chigwiyemisi anasema mwalimu alikuwa hajui uchumi!! Kweli walisema waswahili, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!! Yeye anawaza shibe yake tu......!!? Ubunge atausikia tu ..... kula kulala! .................... Click to expand... Tatizo fact kama za uchumi zimefanywa propaganda siku hizi. Watu hadi sasa wanashindwa kutenganisha zipi propaganda za siasa na zipi ni fact. Hata concrete economic facts kama inflation rate nayo imekuwa kama swala la propaganda.
Mzizi wa Mbuyu said: Then yule mtoto wa Chigwiyemisi anasema mwalimu alikuwa hajui uchumi!! Kweli walisema waswahili, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!! Yeye anawaza shibe yake tu......!!? Ubunge atausikia tu ..... kula kulala! .................... Click to expand... Tatizo fact kama za uchumi zimefanywa propaganda siku hizi. Watu hadi sasa wanashindwa kutenganisha zipi propaganda za siasa na zipi ni fact. Hata concrete economic facts kama inflation rate nayo imekuwa kama swala la propaganda.
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 4, 2012 Thread starter #32 Marygrayce said: mtu acyependa kujikweza Click to expand... Ndio maana aliheshimika kwa hilo
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 4, 2012 Thread starter #33 gulio said: Inaonyesha umakini wa kule aendako kwa ku - "balance" mwendo- mapato Click to expand... Pamoja na kubalance mwendo-mapato, pia kulikuwa na swala la kufikiria broad picture
gulio said: Inaonyesha umakini wa kule aendako kwa ku - "balance" mwendo- mapato Click to expand... Pamoja na kubalance mwendo-mapato, pia kulikuwa na swala la kufikiria broad picture
Makete Kwetu JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 531 Reaction score 166 May 4, 2012 #34 MWANA WA UFALME said: View attachment 53256 Click to expand... Nani kama BABA!!!
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 4, 2012 Thread starter #35 mbisom ramos said: Mwalimu alikuwa wa ukweli!!!!! Click to expand... alionyesha rangi moja tu ya asilia.
mbisom ramos said: Mwalimu alikuwa wa ukweli!!!!! Click to expand... alionyesha rangi moja tu ya asilia.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 May 4, 2012 #36 Kama alikuwa teyari rais kweli nimemkubali kambarage wa watu na i miss him so so so much
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 May 4, 2012 Thread starter #37 Shine said: Kama alikuwa teyari rais kweli nimemkubali kambarage wa watu na i miss him so so so much Click to expand... Enzi ya mwalimu neno fisadi lilikuwa msamiati tu wa kamusi.
Shine said: Kama alikuwa teyari rais kweli nimemkubali kambarage wa watu na i miss him so so so much Click to expand... Enzi ya mwalimu neno fisadi lilikuwa msamiati tu wa kamusi.