Ipe maneno hii picha.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wadau jaribu kuangalia kwa makini hii picha kisha uipe maneno.
Karibu.

 
Ni ngumu sana kwangu, kwanza namjua jk na pinda tu hapo.
 
Ni kama Daniel arapMOI vile anafananiafanania
 
Jamani, kushikana mikono!!!!!?
 
Mh, Nyerere alikuwa anajidai sana kuwa raisi! na mimi ni raisi sasa.
 
Unajuwa wanyama wameisha kule may be kuna mikorosho mingi kwetu nitakupa heka za kutosha..
 
Mambo Magumu sna lakini usijari nitajaribu kuku sidia
 
"kwako una watoto wa kike wazuri wa kutosha, ngependa kumpatia mmoja uraia na kumpa nafasi bungeni"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…