Ipe maneno hii picha (JK na Wassira)

mara ya mwisho nilivaa monduli iyo.
Wasira wanchekesha!
 
Mzee si ungeniludisha kure wizala ya kirimo? si unaona nirivyovaa kikazikazi
 
Hussein Mwinyi mmemuona utafikiri anaenda disco, aibu tupu
 
Ukitizama macho ya Mkuchika & Nchimbi & Hussein inakuonyesha dhairi kuna element kubwa sana ya "UNAFIKI"!
 
........................na wewe yamekukumba nini????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…