Siku moja nimeingia club, karibu namlango kasimama jamaa kavaa kama hivyo, nikamwambia mi hapa ni first time naingia tafadhari niambie choo kiko upande gani, jamaa akasema sijui. Nikamshangaa how come hujui wakati huko hapa saa zote, alikuwa na demu wake wote wakakasirika, eti we unamwona huyu ana shape ya kufanyakazi hapa. Ikabidi mi nicheke tu, nikamwambia hiyo sketi mi nilifikiri ni mcheza shoo or something. Yaani nikimbuka mpala leo nacheka.