Ipe maelezo picha hii

Ipe maelezo picha hii

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
wa011.jpg
 
kibarua hatarin, hapo huyo mama akiambiwe nikukute guest chumba namba nane ataongoza mwenyew bila hata ubishi hahaaa
 
Mama anajiuliza nimtaje aliyetuma kimemo au nisimtaje?
 
hapo ndipo unakuja ule usemi maarufu .................ahera hakuendeki dunia haikaliki
 
Yaani licha ya kufanya ufisadi bado wana ngozi kavu zimewabana utafikiri sio zao.
 
Hapo watendaji wanapewa deadline ya mradi fulani kukamilika uku watendaji hao wakiwa hawajui ahadi iyo itatekelezekaje maana Pesa yote ya mradi tayari wameshagawana watendaji ipo matumboni mwao lol patamu apo,na nusu ya mradi wote bado kukamilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom