Ipe maelezo picha hii

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,523
wa011.jpg
 
kibarua hatarin, hapo huyo mama akiambiwe nikukute guest chumba namba nane ataongoza mwenyew bila hata ubishi hahaaa
 
hapo ndipo unakuja ule usemi maarufu .................ahera hakuendeki dunia haikaliki
 
Hapo watendaji wanapewa deadline ya mradi fulani kukamilika uku watendaji hao wakiwa hawajui ahadi iyo itatekelezekaje maana Pesa yote ya mradi tayari wameshagawana watendaji ipo matumboni mwao lol patamu apo,na nusu ya mradi wote bado kukamilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom