Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Nilichopenda ni kwamba mmeelewana anachohitajimkuu zinaitwa tablet na si ipad
Duu eti ipad ya samsung
Wadau,
nahitaji iPad ya Samsung inayotumia laini ya sim (sim card)
Kama unayo SAmsung Model GT - P5100 au nyingine yeyote naomba uni pm;
Mimi niko Arusha
mkuu ni-pm kuna nataka share nawe ishumkuu zinaitwa tablet na si ipad
Ndo yale ya mobitel yangu inatumia voda...
Naomba unisubiri pale kwenye shell ya pb
Ninayo, nipigie no 0713 306263.Naiuza laki nane na nusu. Ni toleo la mwanzo Kabisa. Nimeinunua 2011. IKO COMPLETE KWENYE BOX LAKE NA BLUE TOOTH EAR PEACE. NI 18GB. HAINA SRUCH WALA HAIJAWAHI KUANGUKA. BADO NI MPYA KABISA. INA COVER LA NGOZI.
Duuu IPad ya Samsung yani kampuni mbili tofauti wameungana wametoa kitu IPad Samsung 1
Acha ushamba hakuna iPad ya Samsung kwasababu iPad ni business name ya apple cop.