joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Pole sana uache mambo ya Jail Break. Kama huwezi kumudu apple products usinunue, unanunuwa Ipad halafu unajidai ku jail break, kwani applications za halali zilizojaa za Ipad hazikutoshi?
Waliogundua jailbreak ni wanaotumia apple product pia. Huwezi jua utamu wa ngoma unless uwe ndani. Thanks anyway kwa ushauri
usipanick mkuu, ni tatizo sogo sana hilo, ulikuwa unaUpdate moja kwa moja over the air au ulichomeka kwenye computer ukaUpdate kwa iTunes au uliDownload ios 7 pembeni alafu ukaUpdate kupitia itunes?Jamani naomba msaada nilijailbreak kama miaka 2 iliyopita ikiwa na iOS 6.0.1 nikawa naweza install various paid application but last year mwezi wa 12 nikona ngoja niiupdatw software kwenda ios 7 but bahati nilidownload na wakati na install imestuck kwenye recovery mode na inaleta error 3194. Please anyone mwenye idea maana nimejaribu google various solutions but baona hakuna mafanikio. Now bataka niiformat tu hata kama ntapoteza all of my previous docs.
Always problems ndo zinawazalisha great thinker we subiriHaya endelea na recovery mode njema.
Hao ni wajinga kama wajinga wengine. Kiranga komo.
Maranyingi ukishajailbreak iPhone yako ukitaka kuUpdate ni bora kuDownload ios mpya pembeni alafu ukaRestore hiyo firmware kupitia iTunes. UkiUpdate over the air inaweza stuck kwenye recovery mode wakati wa installation. Hiyo Error 3194 huwa inatokea kama kuna matatizo yafuatayo;
1. iTunes Version unaitumia sio latest version hivyo unatakiwa kuiUpdate!
2. UnaRestore firmware ambayo sio latest firmware ya simu yako na server za Apple zikagundua hivyo therefore restoration process ikawa declined. mfano: latest ios sasahivi ni ios 7.0.4 na wewe unataka kuweka ios 7.0.1 kwenye iPad yenye ios 6.0.1,,kinachotakiwa hapa ni kubadilisha 'hosts' file kwenye computer yako ili restoration process isipitie kwenye Apple Server,,
Jaribu kuigoogle hyo error na utapata solution. ...
Thanks but i tried as much as i can sijapata bado clear solution
Nimejaribu hiyo solution ya kuchange host kwenye computer but bado nashindwa can you give little bit solution ya kudownload ios peke yake na kuistall upya?
Let me try ntakuapdate progress. Ipad 3 (GSM)iPad ya ni ipi? ingia hapa ( iClarified - iPhone - Where To Download iPhone Firmware Files From ) au ( Download iOS Firmware (IPSW) Files for iPhone ) download ios version yoyote ya iPad yako alafu weka ipad katika dfu mode ( nadhani unafahamu) then restore kwa itunes (hold SHIFT key then click RESTORE), browse for the downloaded firmware then OK!!.
U can use that not only in ipad but also in your iphone....
Have u tried to watch some tutorials on youtube?
NimeResfresh hyo link ya hizo firmware nilikuwa nimeweka za iPhone. nadhani tatizo lipo kwenye hosts file na ndio sehemu inayosumbua sana wakati wa Restoration. Kama unataka kuweka latest firmware ios 7.0.4 sidhani kama tiny umbrella inahitajika sana kwasababu inachokifanya ni kudownload ssh blobs za ios unayotaka from cydia au kuSubmit hizo blobs kwenye cydia server ili uweze kurestore hiyo ios. Hizi blobs ni muhimu sana kama unataka kuDowngrade au kuUpdate to a specific version. Lakini kama unaweka latest ios hautahitaji hizo blobs,,Thanks also but i remember nilisahwahi pita huku bila mafanikio ila ntajaribu tena