IPad mpya -- msaada tafadhali

IPad mpya -- msaada tafadhali

The King of Jews

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
478
Reaction score
109
Habari wana jamvi.......
nahitaji kununua iPad . Specification zake ziwe::iPad 2 16/32/64 GB WiFi + cellular factory unlocked 9.7" au iPad 3 16/32/64 GB WiFi + cellular factory unlocked 9.7" .. mwenye data zozote za hizo products hasa bei zake kwa hapa Dar es salaam Naomba anisaidie...nawasilisha
 
"....nimeua kununua iPad tena brand new kabisa..."
Changanua
 
sasa mkuu si umeishasema umenunua?we ndo utuambie umenunua sh.ngapi?
 
Jitahidi kuhakiki habari yako kabla ya kupost!
 
Back
Top Bottom