Cholemasaki
Member
- Mar 26, 2013
- 61
- 15
Mmenilalamikia sana PM kuhusu bei ila mzigo wa uhakika huo, huwezi pata popote bei kama hyo tena kwa latest ipad yenye 32gb, most zinakua na 16gb na haziingizi line kwaajili ya kupata internet (3G). Hii inayo hiyo feature
Haya basi nimeshusha, tens saaana BEI YA MWISHO 950,000. Hiyo ni fixed haina maelewano.
Atakae inunua atafurahi mwenyewe, ntamuweka series, movies na music videos za kutosha, kwa kutumia app ya VLC
Kazi kwenu sasa, namba ni ile ile. contact 0783981989
Kwa wale mliotaka kujua tofauti kati ya ipad hii na ile ya zamani, hili ni toleo jipya kabisa. Hata muundo wake ni mpya na wakisasa, tofauti na zile ipad kubwa kubwa za zamani.
Angalia pics nilizoattach hapo kuelewa zaidi.
Ukiangalia hyo pic ya pili ipad air ni hiyo ya juu, na kwenye pic ya tatu ni hiyo ya kati kati.