Habari Zenu wakuu? Nina shida kujua jinsi ya kuweza kuitumia ipad 3 kwa kupiga simu na kutuma text messages za kawaida, inasupport sim card but huwezi piga simu wala kutuma text za kawaida pia kinachokera zaidi ni ukitaka kuunga bundle hadi utoe SIM card ueke kwenye simu nyingine uunge bundle then uirudishe kwenye iPad ndo uitumie. Pia jinsi ya kudownload video YouTube iPad 3 hii Ina iOS 9.3.5 na haiwezi ku update to iOS 10, sasa app ya document 5 inayotumiwa na wengi inahitaji iOS 10 and above, so km kuna mtu Ana trick zaidi anisaidie wakuu. Ahsanteni