iOS 17: Apple wameleta Contact poster. Kazi nzuri

iOS 17: Apple wameleta Contact poster. Kazi nzuri

I think the best way ilitakiwa itafute yenyewe km wkt unapiga cm upo kwenye internet ilete picha km huyo mtu anayo picha ipo posted instead of putting it manually.
 
Kwenu nini watumia bitten apple hii ni feature mpya? Mimi nimeanza kuitumia 2011 kwenye Ideos.
 
Hizo apple zinawatesa sana. Hii kitu ina miaka kwenye android leo unasema ni mpya kwenu. Wafungwa huru
 
Hii mambo mbona ipo siku mingi kwenye iPhone au mi ndo sijakuelewa?
 
Unaijua contact poster

Apple kwenye series mpya ya iOS ya 17 wameleta feature mpya inaitwa Contact poster uwezo wa kuweka picha za watu kwenye namba zao za simu.

View attachment 2649367

Contact poster inakupa uwezo wa ku customize namba Zako za simu ulizo zisave kwa kuweza kuweka picha zao kwenye namba pamoja na mabango zinazo muonyesha muhusika Fulani.

Ni feature nzuri sana kwani wakati unapiga simu utaweza kuona picha ya muhusika Ikiwa full tena yenye kupendeza kama Bango kupitia simu yako.

Labda unampigia simu mama yako , baba, mchumba au rafiki nk kwenye kioo chako kitatokea picha yake Ikiwa na mfumo mzuri wa kupendeza ni feature nzuri sana inapatikana kwa watumiaji wa iOS ya 17.

Jinsi ya kuseti kwa watumiaji wa beta version fanya hivi fungua app yako ya phone >> tafuta contact>>chagua user card >>chagua contact photo & poster chagua Editi

Kama ndo unafanya setting kwa mara ya Kwanza chagua customize >> utachagua kati ya contact poster au photo kwaiyo utaweza kuchagua toka kwenye camera, photos,memoji pamoja na monogram.
• camera >> utaweza kupiga picha live
• photo >> inakupa option ya kuchagua picha zilizopo kwenye simu
• memoji >>utaweza kuchagua avatar mbalimbali na kuweka kwenye namba
• monogram >> inakua mfumo wa ujumbe Ikiwa na style tofauti tofauti

Vip unaionaje hii feature kwenye simu yako ushaanza kutumia au lah tuachie maoni yako ?

View attachment 2649368View attachment 2649369
View attachment 2649366
Khaa, yaani ndiyo wameleta leo? Hawa jamaa wana mambo kama ya IBM/Lenovo
 
Hii makitu ipo kitambo sana kwa ios

Labda kuna namna wameboresha tu

Naitumia kitambo sana
 
Back
Top Bottom