Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]MKUU NIMEKUELEWA HAPA
Lakini inakuwaje unawapenda wawili hali una moyo mmoja...!? Hakika kuna mmoja utakuwa unamdanganya... Ni yupi kati yao? Hiyo ni siri yako... Moyo umeumbiwa mmoja tu .
Kweli kabisa inabidi wanadam tubadilike.
Hatari saana msaada wako ni muhimu saana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nilipigwa bit hadi akiniqoute natetemeka.Hiyo bit kakupiga nani? Kile kibabu!?
ukianza kubisha ndivyo unavyolisogelea ombwe la kupimwa mkojo kisa uchochezi![emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa hapo mchochezi ni nani kati yangu mimi na wewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukianza kubisha ndivyo unavyolisogelea ombwe la kupimwa mkojo kisa uchochezi!
hiyo picha tu umefanya liking'amuzi langu limedind.. uchochezi huo.
hayo maneno yako tu yamefanya niwaze nilivyowaza! uchochezi huo.
ponapona yako itabidi unipe namba za nazja.. alasivyo punde tu difenda yenye king'ora na watu wenye gms watakuwa mbioni kukutia mbaloni.. Waiting...😀