nadhani in the future ingetumika audio technology kutusaidia na sisi wavivu wa kusoma kufuatilia. Maana duuh hilo jibu la kwanza la bwana Zomba tosha kabisa kutesa macho yetu halafu anadai bado ajaelezea yote.