Invitation letter(Barua ya Mwaliko)

Invitation letter(Barua ya Mwaliko)

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau habari zenu?

Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili niwasaidie kupata hizo barua za mwaliko kwa malipo.

Kitu cha msingi asiwe mtu anayetaka kwenda kufanya uhalifu katika nchi hizo au kutaka kutokomea mara baada ya kufika,huduma hii inalenga zaidi wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya Leisure/Tourism,kusoma nk.

Karibuni wenye kuhitaji PM.
 
Mmh yani we una branches nchi zote mtu anataka kwenda? Coz najua barua inatakiwa itoke nchi husika anyway poa
 
Ofisi ipo ina deal na mambo mengine,hilo la Invitation letter ni issue yangu personal.But hulipi chochote mpaka upate barua yako ya mwaliko na copy ya passport ya anayetoa mwaliko toka nchi husika unayotaka kwenda.

Hamna office?
 
Siwezi sema nina branches nchi zote,ila nina network kubwa karibia nchi nyingi duniani hasa zile maarufu.Hakika barua ya mwaliko inatoka nchi husika na inapatikana na copy ya passport ya anayetoa mwaliko.

Mmh yani we una branches nchi zote mtu anataka kwenda? Coz najua barua inatakiwa itoke nchi husika anyway poa
 
Siwezi sema nina branches nchi zote,ila nina network kubwa karibia nchi nyingi duniani hasa zile maarufu.Hakika barua ya mwaliko inatoka nchi husika na inapatikana na copy ya passport ya anayetoa mwaliko.
Ok sawa we endelea tu
 
Kuna watu wameanza kuniulizia namna ya kupata transcript na vyeti vya vyuo kutoka nchi mbalimbali,kwa kifupi sihusiki na biashara hizo za kufoji vyeti,issue zangu ziko straight na uhakika sio magumashi ya kufoji vyeti.!

Back
Top Bottom