Invisible na familia yake wakimoderate JF. Wengine wajitambulishe wenyewe kabla hatujawataja.
Chezea ban hapo. kwa staili hii naona tuombe kabisa Mods no-fly-zone in Chitchat.
Mhh....hivi RR hamuendi lunch na mapumziko tuwatete kidogo??EMT unapewa masaa ishirini na nne kuonesha authorisation ya kupost picha za kikao cha Mods, au kuondoa hii picha mtandaoni na ku-appologize. Ukikosa kufanya hivo utajuta mwenyewe nakwambia. lol
FYI, your request in bold has been rejected.
Mbona kawaida tu Erickb52,hapa tushapeana cha mchana wala hatuna shida labda kijf tu nyie ndio mtamiss sie huku kwa raha zetu!!Haaaa
Halafu huu ndo muda mzuri wa kuongea na RR asaidie kuongea na wenzake wampunguzie adhabu maana utakuwa km mjane sasa....
Pole shem
EMT unapewa masaa ishirini na nne kuonesha authorisation ya kupost picha za kikao cha Mods, au kuondoa hii picha mtandaoni na ku-appologize. Ukikosa kufanya hivo utajuta mwenyewe nakwambia. lol
FYI, your request in bold has been rejected.
Those who make peaceful revolution impossible, make violent revolution inevitable - JFK
We're are coming to get you. We will burn your avatar RussianRoulette.
We will not be silenced. We will demand our goddamn JF rights and will have our rights.
One way or the other, we will never be silenced.
Heheheheeee aisee jiulize kimyakimyaJamani nyie.. Mbona nanii zao Ziko nje nje!! Eih
Invisible na familia yake wakimoderate JF. Wengine wajitambulishe wenyewe kabla hatujawataja.
Chezea ban hapo. kwa staili hii naona tuombe kabisa Mods no-fly-zone in Chitchat.
huyu dogo wa kushoto mwenye machine kubwa ni nani?
Hahahahaaaa kwa hapo pia nataka kumwona rejao nijue km pua alizaliwa nayo au kaipatia ukubwani