Invisible na Familia yake alipokuwa mdogo

EMT unapewa masaa ishirini na nne kuonesha authorisation ya kupost picha za kikao cha Mods, au kuondoa hii picha mtandaoni na ku-appologize. Ukikosa kufanya hivo utajuta mwenyewe nakwambia. lol
FYI, your request in bold has been rejected.

Invisible na familia yake wakimoderate JF. Wengine wajitambulishe wenyewe kabla hatujawataja.
Chezea ban hapo. kwa staili hii naona tuombe kabisa Mods no-fly-zone in Chitchat.

tribal-people-playing-on-a-laptop.jpg
 
Last edited by a moderator:
Lol, Erickb52 huwezi kuishi bila kumtaja mme wangu Rejao!!!
Hapo hayupo siku hiyo hakuwepo wakati picha inapigwa!

Haaaa
Halafu huu ndo muda mzuri wa kuongea na RR asaidie kuongea na wenzake wampunguzie adhabu maana utakuwa km mjane sasa....
Pole shem
 
Last edited by a moderator:
EMT unapewa masaa ishirini na nne kuonesha authorisation ya kupost picha za kikao cha Mods, au kuondoa hii picha mtandaoni na ku-appologize. Ukikosa kufanya hivo utajuta mwenyewe nakwambia. lol
FYI, your request in bold has been rejected.
Mhh....hivi RR hamuendi lunch na mapumziko tuwatete kidogo??
Ngoja tutafute namna ya ku encrypt story zetu hadi mshangae...
 
Last edited by a moderator:
Haaaa
Halafu huu ndo muda mzuri wa kuongea na RR asaidie kuongea na wenzake wampunguzie adhabu maana utakuwa km mjane sasa....
Pole shem
Mbona kawaida tu Erickb52,hapa tushapeana cha mchana wala hatuna shida labda kijf tu nyie ndio mtamiss sie huku kwa raha zetu!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kawaida tu Erickb52,hapa tushapeana cha mchana wala hatuna shida labda kijf tu nyie ndio mtamiss sie huku kwa raha zetu!!
Hahaaa cha mchana ukishushia na juice dah safi sana. Mi ndio nakula pia karibu lol
 
Last edited by a moderator:
EMT unapewa masaa ishirini na nne kuonesha authorisation ya kupost picha za kikao cha Mods, au kuondoa hii picha mtandaoni na ku-appologize. Ukikosa kufanya hivo utajuta mwenyewe nakwambia. lol
FYI, your request in bold has been rejected.

Those who make peaceful revolution impossible, make violent revolution inevitable - JFK
We're are coming to get you. We will burn your avatar RussianRoulette.
We will not be silenced. We will demand our goddamn JF rights and will have our rights.
One way or the other, we will never be silenced.

Last edited by a moderator:
OMG, this is a war declaration! :angry::boxing:. Haya bwana, umeyataka mwenyewe...

Those who make peaceful revolution impossible, make violent revolution inevitable - JFK
We're are coming to get you. We will burn your avatar RussianRoulette.
We will not be silenced. We will demand our goddamn JF rights and will have our rights.
One way or the other, we will never be silenced.

Last edited by a moderator:
Bwaha bwaha bwahaaaaaaaaaaaaaa kweli hakuna kama JF!!!!!! Nimechekaaa

Invisible na familia yake wakimoderate JF. Wengine wajitambulishe wenyewe kabla hatujawataja.
Chezea ban hapo. kwa staili hii naona tuombe kabisa Mods no-fly-zone in Chitchat.

tribal-people-playing-on-a-laptop.jpg
 
Naona wiki hii ilikua wiki ya kuwacheka mods. Mara they are hot ( Erotica) , mara wamekimbia maandamano ( EMT), mara picha zao za utotoni hizi... nyie endeleeni tu. Mamba akikuonesha meno haina maana kua anakuchekea. lol ( Fang, have you seen this? wewe ndie yule anae expose "machine"?)

teh teh teh. kama mko hot tusiseme? Alafu sio wote mpo hot msijadai sana.
 
@fang yupo wapi hapo? maana ana kiingereza kigumu...... Cookie alipozi wapi? halafu Bishanga sio yule nyuma mrefu?

Umekosea kamanda,bishanga ni hiki kivulana mbele cha pili toka kushoto,embu cheki kilivyo na mzigo wa ukweli,bishanga amejaliwa bana.
Ps:
Hii picha tulipigwa tar 7/7/1954 mjini tabora.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom