INVESTOR KINDLY NEEDED

Xola

New Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Poleni na majukumu mbalimbali mimi ni mwanamke wa miaka 33 looking for an investor who will be willing to invest in my small business im planning to start .
Najua sisi binadamu tumeumbiwa kukosoa na kukatisha watu tamaa so najua watu wengine watatoa majibu ya kejeli mabaya but its ok naomba kama ukiguswa na my article na ombi langu niandikie pm takupa all the details u will want to know.
Mnisamehe kwa kuchanganya lugha ni mazoea tu na ugumu flani at the same time.

They say u have never truly lived until u have done something that no one can repay you , so kama unajua unauwezo na ukaguswa plz niandikie and tutaongea zaidi mpka kufahamiana na uridhike .

Thank you .

PS:najua kuna wale watoa ushauri kwanini usiende bank etc naomba tu mkumbuke kuwa mpka mtu kaamua kuja kwenye jukwaa kama hili ameshahangaika sana na all options ambazo wewe unafikiria nimeshazifanyia kazi ndio maana nikaona mwaka huu nianzie huku i might be lucky change strategy and all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…