Investment Company its a real deal??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Investment Company its a real deal???

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibang, Jul 8, 2012.

 1. Ibang

  Ibang Senior Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja ambaye ni investment banker ambaye alishawahi kuja hapa kwetu the guy told be katika biashara ambayo watu wengi huwa wanaidharau ni investment business iwe angel investment business au venture investment business
  Akazidi kusema kwa africa kwa nchi zinazoendelea ni moja ya bonge la biashara ambayo after 10-15 inaweza kukufanya ukawa warren buffet wa africa
  Akaenda mbali zaidi akasema kuwa cha msingi ni kujua wapi pa ku invest na ni kampuni gani ya kuinvest
  Akatoa sector moja ya ku invest akasema ni kwenye constructions na kwenye infrastructures na sehemu ambazo amesema ni choo cha kike ku invest akasema ni kwenye makampuni ya ndege
  So nikakaa nikafikiria nikasema investment company its a real deal???
  Nikawaza jamaa zangu humu kina komandoo, entreprenuer, kuwa they can have something to share kuhusu hii business....
  By the way
  Honestly kilichoni tregger emotions mpaka kuandika hii jamaa akasema ferrarri nyingi europe, middle east, na ma estate mengi unayoyaona europe middle east sio ya ma Ceo wa kampuni wala nini ni ya ma investors wa hayo makampuni...
  Je ni real deal kwa Tanzania yetu inayoendelea na Africa kwa ujumla??
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli biashara za invstment ndo Mpango mzima ni si kwa Tanzania tu bali Duniani kote, Tatizo linakuja kwa sisi wenyewe kutaka kufanya biashara zinazo toa faida baada ya masaa kumi na moja, UNAANZA BIASHARA LEO JIONI TIYALI UNA FAIDA, ndo biashara tunazo penda hizo,

  Long term investment za kutengeneza faida baada ya hata miaka 20 ijayo hatuzipendi kabisa, na ishu nyingine mara nyingi sana Investment za aina hiyo zinahitaji Mitaji mikubwa sana na mpaka sasa mabenki yetu hayako tiyali kufainance miradi ya muda mrefu, MABENKI WANAKIMBILIA KUFAIANCE BIASHARA ZA KUAGIZA SIMU KUTOKA CHINA,
   
 3. Ibang

  Ibang Senior Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo nimekuelewa je si kuna investment za muda mfupi?? After three up to five years inaweza kuanza kukulipa?
  Hii huoni kuwa ni safi uzuri wa biashara hii kufilisika kwako ni asilimia chache sana....
   
 4. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Asante sana mku kwa wazo zuri sana, kidogo mm sijaelewa na pengine ni maana halisi ya hizi Terminology za kibiashhara, navojua mm ma investors km hao uliowataja wapo tena wengi tu may be most of them wana operate informally mfano Angels wapo wengi mitaani ila wakwetu ni wadogo wadogo kwa mitaaji na vile vile na tafiti iliofanywa miaka ya 2004 inaonyesha kuwa Tanzania pana VC (venture capitalist) wasio pungua 21,,

  Pili kwa uwelewa wangu Investment ni kitendo cha uwekezaji aidha kwa muda mfupi, wa kati, mrefu kwa ufupi hata aiyejenga guest house ni investment, unawekeza resources leo ili baada ya hapo upate return/kipato kwa kutofautisha na trading ambacho unanunua ndicho hichohicho utakiuza, hata dala dala unawekeza. naomba munielimishe kama ni tofauti
   
 5. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu Ibang ni kweli haya unayoyasema, lakini mfumo wetu wa soko la uwekezaji (DSE) pamoja na vyombo husika kama Mamlaka ya usimamizi wa masoko ya hisa (TCMA) viko nyuma sana. Pili sidhani kama terminology ya kwamba uwekezaji katika soko la usafiri wa anga ni (choo cha kike),Hapana! Utakubaliana nami umeona ongezeko la makampuni ya ndege kwa Afrika hivi karibuni, ujengwaji na upanuzi wa miundo mbinu kwa maana ya viwanja vya ndege, hata hivi karibuni kampuni maarufu ya usafiri wa anga kwa bei nafuu ijulikanayo kama Easy jet wametangaza kuja Afrika kwa kasi wakiamini ndio sokoo pekee lenye matumaini. Hao aliokutajia wamiliki wa mali hizo kama magari ya kifahari na majumba ni wawekezaji (investors) ila ukichunguza zaidi kwa ndani, wao ndio waanzilishi wa hizo kampuni walizo wekeza. Major shareholder, kampuni zao ndio zimeuza share hivyo kujiongezea mitaji yakibiashara.
   
 6. Ibang

  Ibang Senior Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  no mkuu hapa sie tulikuwa tunaongelea mfano mtu ana kampuni yake anataka capital anaenda kwenye nvestment company na proposal yake then ile kwa masaaa wa ile proposal kampuni inaamua kumpa capital sema katika stage ya kwanza ndio tunaita angel investors yaani wale ma investor wanaotoa capital katika stage ya mwanzo ya biashara na mara nyingi mitaji inakuwa midogo na kwa wale ma ventures investors nii wale biashara imeshakua sasa unataka ku expand unataka capital kubwa ya ku expand biashara yako ndio hawa wana appear (NAKUBALI KUSAHIHISHWA)
  sasa sie mkuu hapa tulikuwa tunaongelea hii kampuni ya namna hii investment company kwa ajili ya ku invest kwenye makampuni madogo madogo yanayoanza as angel investors then tunakuwa both angels and ventures investors
  nimeongea according na definition yangu wa hizi terminology
   
 7. Ibang

  Ibang Senior Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  so wataka kuniambia kuwa mfano kampuni iliyowekeza kwenye lets say airline ndio waanzilishi wa hizo airlines hapo sijakupata mkuu nifafanulie tafadhali
   
 8. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nilikua namaanisha hivi investors unaosema wanamiliki fortunes kubwa na sio CEO's. Ni kwamba ukichunguza utakuta wao ndio waanzilishi na owners wa kampuni hizo eg; Sam Walton wa Walmart, Warren Buffet wa Hathway,Bill Gates wa Microsoft, wanakua na stake kubwa zaidi niseme.
   
Loading...