Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,095
- 917
Jamani habari za asubuhi,nlikuwa naomba kuuliza kwa wale waliosoma accounts,nna swal nlikuwa namfundisha mdogo wangu la investment ,nikakuta kipengere cha ordinary share zimeuzwa,na share zikanunuliwa na kampuni kwa sh 49 kwa premium,but nominal value ni sh 100,"compan purchased 5000 equity shares in xuluma ltd at premium of sh 49 per share.je nta treat vipi kwenye acount upande wa capital cost?