Investment accounts

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,095
917
Jamani habari za asubuhi,nlikuwa naomba kuuliza kwa wale waliosoma accounts,nna swal nlikuwa namfundisha mdogo wangu la investment ,nikakuta kipengere cha ordinary share zimeuzwa,na share zikanunuliwa na kampuni kwa sh 49 kwa premium,but nominal value ni sh 100,"compan purchased 5000 equity shares in xuluma ltd at premium of sh 49 per share.je nta treat vipi kwenye acount upande wa capital cost?
 
Peleka

Share Capital hiyo 5000 shares X 100 =
Share Premium 5000 shares X 49 =
 
Peleka

Share Capital hiyo 5000 shares X 100 =
Share Premium 5000 shares X 49 =
lakini hivyo si upande wa seller akiuza,je vya buyer akinunua.na niupande wa investor,siyo company accounts,nahtaji kujua ukifungua investment a/c.kuna nominal, income ,capital.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom