Investigation Officer PCCB

Investigation Officer PCCB

Kuna jamaa aliambiwa na kaka yake kuwa maombi yako takribani 50k yamejaa chumba kizima hvyo amtumie tena maombi huyo kaka yake kwanjia ya Email ili amfanyie mpango
 
mh kwa staili hiyo ambao hatuna makaka tunachetu kweli?
 
Kuna jamaa aliambiwa na kaka yake kuwa maombi yako takribani 50k yamejaa chumba kizima hvyo amtumie tena maombi huyo kaka yake kwanjia ya Email ili amfanyie mpango

Hiyo ni sawa kabisa. Kama ungeambiwa wewe ungekataa?
 
Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! Haaaaa! i love this country!
 
Mimi naweza kuamini kama chumba kizima kitakuwa kimejaa maana hapa mtaani kwetu karibu kila aliyesoma chuo ameomba. Sasa tafakari na usinipe jibu....
 
Back
Top Bottom