jina baya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 573 Reaction score 381 Nov 7, 2014 #1 Wandugu nahitaji msaada, kuna simu nimepewa ila ina tatzo kidogo, imeandika invalid IMEI nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba msaada wako plz
Wandugu nahitaji msaada, kuna simu nimepewa ila ina tatzo kidogo, imeandika invalid IMEI nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba msaada wako plz
jina baya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 573 Reaction score 381 Nov 7, 2014 Thread starter #2 jamani wale wa hili jukwaa msaada plz
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Nov 7, 2014 #3 jina baya said: jamani wale wa hili jukwaa msaada plz Click to expand... maelezo yako hayajitoshelezi sasa hiyo ni simu au nini kisha kama ni simu aina gani na ulifanyaje mpaka unaambiwa ivalid imei
jina baya said: jamani wale wa hili jukwaa msaada plz Click to expand... maelezo yako hayajitoshelezi sasa hiyo ni simu au nini kisha kama ni simu aina gani na ulifanyaje mpaka unaambiwa ivalid imei
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Nov 8, 2014 #4 Katupi hiyo huyo aliyekupa kakufafananisha na mtoto wa kuchezea simu toi