Introvert wanalalamikiwa kuwa wana kiburi na dharau

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
202
425
Najua ukiwa katika hili kundi la binadamu ushawai kupokea shutuma kadhaa kua wewe ni msiri, kiburi, jeuri, pamoja na dharau.

Yani mtu anafosi mpige stori, uende katika kumbi za sherehe, maeneo yenye kelele ukikataa tayari ushajichongea mi nadhani jamii ifike mahala itambue kua introverts sio kusudi Lao kua hivyo ni maumbile tu nawasilisha.
 
Mi nikifahamiana na mtu nikianza kumchangamkia siku niko na mood utamsikia kumbe nawe unaongeaga
 
Najua ukiwa katika hili kundi la binadamu ushawai kupokea shutuma kadhaa kua wewe ni msiri, kiburi, jeuri, pamoja na dharau.

Yani mtu anafosi mpige stori, uende katika kumbi za sherehe, maeneo yenye kelele ukikataa tayari ushajichongea mi nadhani jamii ifike mahala itambue kua introverts sio kusudi Lao kua hivyo ni maumbile tu nawasilisha.
Ni kweli ndivyo inachukuliwa. Ingekua vema kama jamii ingetambua hizi aina za personalities na kuwaelewa watu kwa jinsi walivyo. Mimi ni mhanga wa kuambiwa naringa, najitenga etc
 
Ni kweli kabisa. Mim kiburi, jeuri,kisirani na sipendi kuchangamana na watu.mda mwingi nashinda ndani tu,sina mazoea watu hapa mtaani. Ni salama then kila mtu na mambo yake.

Kingine napenda sana wanyama.mtu akigongwa na gari hua siumii,ila paka au mbwa akigongwa basi hiyo siku kwangu itaisha vibaya sana.mambo ni mengi.
Ila kizuri naguswa haraka sana na mtu akipata shida,na pale akihitaji msaada wangu wa hali na mali namsaidia
 
Hizi psychological labels ukizizingatia zitakusumbua sana. Sijui intoverts, extroverts, ambiverts, kuna zile personality types sijui INFJ, INTP.... kuna disorders kama narcissism, psychopathy, kila mtu anasema anazo. Tabia za mtu hazitabiriki wewe ishi maisha yako usijipe label yeyote utachanganyikiwa.

Labda upewe na mtaalam wa afya ya akili tofauti na hapo potezea haya mambo. Ni kujitafutia sababu za kujiendekeza.
 
Wanaona sifa. It's the new trend, wabongo nao wanajikuta mizungu.
 
Ni kweli kabisa. Mim kiburi, jeuri,kisirani na sipendi kuchangamana na watu.mda mwingi nashinda ndani tu,sina mazoea watu hapa mtaani. Ni salama then kila mtu na mambo yake.

Kingine napenda sana wanyama.mtu akigongwa na gari hua siumii,ila paka au mbwa akigongwa basi hiyo siku kwangu itaisha vibaya sana.mambo ni mengi.
Ila kizuri naguswa haraka sana na mtu akipata shida,na pale akihitaji msaada wangu wa hali na mali namsaidia

Hongera mzungu koko.
 
Back
Top Bottom