Introduction

Introduction

Faty

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Hi, Members I am new member happy to join with this community, till later.............
 
Karibu ingawa jukwaa la utambulisho lipo.....
 
Tukaribishane mgeni, nifuate chemba tunong'onezane.
 
Karibu ingawa jukwaa la utambulisho lipo.....

B52 umeiotea bingo! Mtu wangu, unajua kiJeief kuwa wa kwanza kumkaribisha mgeni kama ni m'beijing ni sawa na maana ileee.....!
Hongera kwa mazinduzi !
Shem Amy hajambo ?
Simuoni au yuko jikoni nini ?
Back to Mada Mgeni kriib , ngoja niangalie bandani nione kama kuna uwezekano wa kuchinja ndege .
 
Back
Top Bottom