Introducing: Viber for Windows and Mac

Introducing: Viber for Windows and Mac

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,769
Reaction score
3,644
Kampuni ya Viber Media Inc amabayo imekuwa ikitoa huduma ya kupiga simu na kutuma au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi kwa kutumia application yao ya Viber sasa wamepiga hatua na kuamua kuzindua application hiyo kwa watumiaji wa Windows na Mac.

Watumiaji wa computer za Windows na Mac wataweza kupiga simu, kutuma au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi kwenda au kutoka kwa mtumiaji yoyote wa Viber duniani kote.

Ili uweze kutumia Viber kwenye Windows au Mac unachotakiwa kufanya ni kutembelea Viber - Free calls, Free text messages, photo and location sharing na kudownload application hiyo na kisha kuinstall kwenye PC yako.

Ukisha install utatakiwa kuingiza namba yako ya simu ambayo ulikuwa ukiitumia kwenye application ya Viber ambayo tayari umekwisha install kwenye simu yako.

Baada ya kuingiza namba yako ya simu kwenye application yako ya Viber ya Windows au Mac utatumiwa activation code kwenye application yako ya Viber iliyokwisha kuwa installed kwenye simu yako.

Baada ya hapo utatakiwa kuingiza code hizo ulizotumiwa kwenye application yako ya Viber ya Mac au Windows na u-click on activate. Baada ya hapo PC yako itakuwa imeunganishwa na application ya Viber.

vibervideocalling-100036436-large.png

Furahi kupiga au kupokea simu na kutuma au kupokea sms duniani kote ukiwa Viber.
 
miss you too mdogo wangu....
hope upo salama kabisa. maana umenisusa dadako siyo mchezo.
Ila nikiona hivi dadako najua nimeshapata msaidizi wa kukudekeza, kudeka kwa dada hakupo tena, lol!

Ha ha haaa!!! Umenifurahisha kweli...Haman dada yangu...majukumu yamekuwa mengi kweli hata kuingia JF kwenyewe naingia kwa kubip tu.
 
Kampuni ya Viber Media Inc amabayo imekuwa ikitoa huduma ya kupiga simu na kutuma na kupokea ujumbe mfupi wa maandishi kwa kutumia application yao ya Viber sasa wamepiga hatua na kuamua kuzindua application hiyo kwa watumiaji wa Windows na Mac.

Watumiaji wa computer za Windows na Mac wataweza kupiga simu, kutuma na kupokea ujumbe mfupi wa maandishi kwenda au kutoka kwa mtumiaji yoyote wa Viber duniani kote.

Ili uweze kutumia Viber kwenye Windows au Mac unachotakiwa kufanya ni kutembelea Viber - Free calls, Free text messages, photo and location sharing na kudownload application hiyo na kisha kuinstall kwenye PC yako. Ukisha install utatakiwa kuingiza namba yako ya simu ambayo ulikuwa ukiitumia kwenye application ya viber ambayo tayari umekwisha install kwenye simu yako. Baada ya kuingiza namba yako ya simu kwenye application yako ya viber ya windows au mac utatumia activation code kwenye application yako ya viber ya kwenye simu. Baada ya hapo utatakiwa kuingiza code hizo ulizotumia kwenye application yako ya viber ya mac au windows na u-click on activate. Baada ya hapo PC yako itakuwa imeunganishwa na application ya Viber.

vibervideocalling-100036436-large.png

Furahi kupiga au kupokea simu na kutuma au kupokea sms duniani kote ukiwa Viber.

Viber inasupport ktk cmu za aina gani?
Nokia E66 itakubali?
 
hivi viber inafanya kazi kwa simu za symbian? Like s60 3rd edition
 
Nataka niweke whatsup kwenye i phone .. Sasa mtu wangu jamaa wanaiuza kwenye app store so kama kuna anymeans ya kuipata bila kununua .. Nipe maujanja.

Njia ambayo najua unaweza kuinstall whatsapp kwenye iPhone ni hadi u jailbreak iPhone yako na Uinstall Cydia as you app store. Cydia app store itakuwezesha ku install application mbali za iOS bure na pia kuchange Theme na appearance ya simu yako vyovyote utakavyo.
 
Mbona inakataa kuingia kwenye blackberry 8520 au ni ya kizamani nini?
 
Back
Top Bottom