Asante man ila umeniacha kidogo
Hivi si ni sawa na skyping?
Ok poa mwayaSio sawa na Skype ila baadhi ya features za Viber zipo pia kwenye Skype.
pumbavu kabisa hawa skype mwanzo ilikuwa bure eti sasa hivi mwsho 20 free video calls kama wanashindwa kuihudumia kwa nini waliinunua?skype haifi ila itabidi wawe bure kabisa, ushindani mkubwa hasa kutoka kwa whatsapp, viber bbm (imeweka feature ya kupiga simu na iko kwa android na apple)n a zile za asia kama kakaotalk na zingine