Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
i respect you brother wewe ni miongoni mwa senior expert membersMkuu Mndengereko asante sana na pamoja sana kwa wale co- founder na waliochangia kwa namnamoja au nyingine kuanzisha #teamrafiki
Pamoja tutadumu
jaman wangu Mndengereko kumbe unaponikimbia unakujaga huku eeeh
kwani siwezi kupata ushauri huko cc na mmu bila kuwa #teamrafiki ???
i respect you brother wewe ni miongoni mwa senior expert members
wewe si umentolea nje jana umeenda kupaga majivu peke yako.sawa tu...
inawezekana akawa ameshikwa huko alipo si unaona baridi hili na hicho kimvua cha mbaali....
ha ha ha wewe ndo ulisababisha kuniambia unakuja na watu..sikuachi tna na hii khali ya hewa ooooh
asante sana Mndengereko..bandiko limekuja katika muda muafaka
maparoko wangu Kaizer na Eiyer karibuni sana
wote mnakaribishwa team rafiki
i miss you by the way sijakutia machoni siku mbili nzima.