Introducing Meteor VPN

Introducing Meteor VPN

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Sio mbaya kuwajuza wana Tech wenzangu walio interested na Virtual Private networks
Kuna haka ka VPN kameibuka siku hizi sio vibaya ukika review na ukaacha maoni yako hapa chini
attachment.php

Pia Tembelea hapa usome zaidi Meteor VPN Tz
 
meteor hii siijui ntaitest ila ile sandwitch haina kitu ni modification tu ya expat shield ambayo ni free unlimited vpn yenye ads wanatulia hela zetu.
 
Sijakusoma mkuu kuhusu hiyo modification
Emu nifungue macho hapo
 
Embu Rusha Print Screen tuone Speed test yake inakuwaje Mkuu Njunwa? Pia Nina shida ya kuwa na VPN ya USA ili niweze kustream Video Giant Video Libraries kama vile NETFLIX/VUDU/HULU/HBO GO/AMAZON and VANGUARD.

Anayewza kunisaidia tafadhali ani-PM haraka.
 
tumia pdproxy mi huwa naangalia hulu hii ni ya kulipia ila ipo ya free inaitwa securitykiss sema una limitation ya mb300 kwa mwezi
 
Sijakusoma mkuu kuhusu hiyo modification
Emu nifungue macho hapo

sijui sasa hv ipo vp ila kuna wakati walikua wanatumia server za hotspot/expat shield.

hawa hotspot na expat shield ndo vpn kubwa zaidi duniani wana wateja wanaweza fika hata milion 100 na server za kumwaga bidhaa zao nyingi ni free
 
Embu Rusha Print Screen tuone Speed test yake inakuwaje Mkuu Njunwa? Pia Nina shida ya kuwa na VPN ya USA ili niweze kustream Video Giant Video Libraries kama vile NETFLIX/VUDU/HULU/HBO GO/AMAZON and VANGUARD.

Anayewza kunisaidia tafadhali ani-PM haraka.

Mkuu kama alivyokupa jibu chief mkwawa chakufanya tafuta free vpn kama aliyokutajia hapo juu
Hiyo ni option kama wewe ni mgumu wa kutoa hela lkn kama sio mgumu wa kutoa hela pd proxy,sandwich vpn,meteor vpn zitakufaa....chakufanya nenda site tajwa afu mtafute reseller wa Tz
 
sijui sasa hv ipo vp ila kuna wakati walikua wanatumia server za hotspot/expat shield.

hawa hotspot na expat shield ndo vpn kubwa zaidi duniani wana wateja wanaweza fika hata milion 100 na server za kumwaga bidhaa zao nyingi ni free

Du hii expat shield siidaki ngoja ntaisoma afu nta compare servers zao
 
Mkuu kama alivyokupa jibu chief mkwawa chakufanya tafuta free vpn kama aliyokutajia hapo juu
Hiyo ni option kama wewe ni mgumu wa kutoa hela lkn kama sio mgumu wa kutoa hela pd proxy,sandwich vpn,meteor vpn zitakufaa....chakufanya nenda site tajwa afu mtafute reseller wa Tz

mkuu hii meteor vpn setup yake unaipata wap??? kenye site yao sijainyaka bdo,, ww kam unayo naomba niwekee hapa,, then vp ww umeweza kudeposit perfect money kwa kutumia credit/depost card?
 
Mkuu meteor vpn setup hipo kwenye downloads
Perfect Money huwezi ku-deposit kwa card labda kutafuta site/kampuni ambazo wanabadilisha PP to PM(PayPal-Perfect Money) lkn payment option nyingine iliyopo ni M-pesa
Kama upo interested ni PM
 
Sio mbaya kuwajuza wana Tech wenzangu walio interested na Virtual Private networks
Kuna haka ka VPN kameibuka siku hizi sio vibaya ukika review na ukaacha maoni yako hapa chini
attachment.php

Pia Tembelea hapa usome zaidi Meteor VPN Tz

kama hiki kidude kinafika anga hizi ni pm tufanye mchongo au kama vipi nipe trial walau 3dayz nicheck
 
Last edited by a moderator:
Mkuu meteor vpn setup hipo kwenye downloads
Perfect Money huwezi ku-deposit kwa card labda kutafuta site/kampuni ambazo wanabadilisha PP to PM(PayPal-Perfect Money) lkn payment option nyingine iliyopo ni M-pesa
Kama upo interested ni PM
nicheck PM tuonje onje kwanza
 
Mkuu sasa trial ni 1dei afu ni test server inatumika
Kwa hiyo hata ukionja hautofaidi utamu wa kweli
Nakushauri pakua ule ndo utapata utamu

Kama hakuna trial wacha tubaki PD-Proxy au kumcheck Paje atupe yale makitu ya kueleweka
 
Last edited by a moderator:
Kama hakuna trial wacha tubaki PD-Proxy au kumcheck Paje atupe yale makitu ya kueleweka

Pd na Meteor Vpn kama unaelewa haya mambo hazina tofauti
Zinatofautiana na Tunnelguru tu
Lkn hamna shida baki huko huko 2 and you will never try something new
All the best
 
Back
Top Bottom