ESE (English-Swahili-English) Dictionary.
Heshima kwenu wote, leo nna furaha ku-release hii software.Kamusi hii ni ya KingerezaKiswahiliKingereza.
Kamusi hii ni BURE kabisa download na umpe mwenzako.Shukran za pekee kwa Stefano Mtangoo na C6 asanteni sana kwa mawazo yenu na kufanya beta testing.
View attachment 128698
Graphics & Icons by C6
Kama unawazo lolote au ukikumbana na bug yoyote tafadhali naomba usisite kuliwasilisha kupitia Hosanna HigherTech Forums - ESE Dictionary au kupitia katika uzi huu moja kwa moja. Ntajaribu kukifanyia kazi kila kinachosemwa ili kuifikisha mbali kamusi hii.
Kamusi hii ina-interact na SQLite 3 Database ambayo utapata maelezo yake katika kipengele cha About.
Summary:Full name: English-Swahili-English Dictionary
Short name: ESE Dictionary
Version: 1.2 Beta
Platform: Windows XP SP3 or later -- Badae inaweza ikapatikana katika Windows RT/Metro na kama itawezekana ntai-port katika Linux na Android.
Download Size: 3.8MB (.exe)
Download Link: HERE
Feedback kutoka kwenu ni muhimu sana.
Good work Nyasiro
Mi naisubiria kwa hamu port ya Linux...!
Windows inasumbua kidogo ina crash.
Ngoja nitest latest!
naona ame update download link
nanaona bado inazingua,btw kazi nzuri
Good work Nyasiro
Mi naisubiria kwa hamu port ya Linux...!
Windows inasumbua kidogo ina crash.
Ngoja nitest latest!
nadhani nilikuwa wa mwanzo kuitest ya mwisho haina matatizo kama versi mbili mwanzo. ila nashangaa kwann developer ( Nyasiro ) haweki direct link ili watu waipakue wakisubiri hiyo ya softpedia
Mkuu this is awesome, lemme chek it out!Okey... Here we go. DIRECT DOWNLOAD LINK: http://www.softpedia.com/get/Others/Home-Education/ESE-Dictionary.shtml
Mwl.RCT, Stefano Mtangoo, OKW BOBAN SUNZU, LORDVILLE, @C6, Smartbrain C++, FREDRICK IHEMBE, chief-mkwawa leh Donn @njunwa wamavoko wickerman, Deejay nasmile,na wadau wote karibuni sana.
Kua kipindi tulitaka kui convert ile ya Tuki ili kuiweka katika App yetu fulani inayojumlisha list ya dictionaries ila tulivyowaza kuhusu mlolongo wa kupitia mpaka kupata permission and deal itakavyokuwa complex tukapiga kimya kwanza!Thanks sana mkuu nilikua natafutaga sana kitu kama hii,ninayo ile ya TUKI full majanga,nadhani hii itanisaidia sana, katika kusoma kwangu vitabu maana kuna vitabu huwa napambana navyo vina misamiati migumu sana,hongereni wote na shukrani sana,mungu awazidishie mzidi kufanya kazi nzuri kama hii......