Introducing Droid VPN

Introducing Droid VPN

Mm nimewa-Contact wote munjy1 pamoja na Paje lkn hamna aliyenipa jibu la mahana
We should be one mm sio haja ya kutiana makucha mpaka naona munjy1 anasema anataka abumishe usafiri
Come on men
tatizo lako unashindana sana mkuu unapenda hasa ligi, basi tukubalianeni sote tuuze 11,000tsh then tufute haya matangazo yote ktk jamii forums, jee unaweza hilo kutekeleza C6 hayupo mbali, tena hiyo 11,000tsh ni kwa faida ya kwako mwenyewe other wise as i told u mimi naweza uza hata 2,000 bila ya hasara angalia control panel yangu na ip address yangu ipo juu pale maana usasema kuwa ni fix tu.
 
Sasa ndio napata jibu sahihi juu ya huu mvutano unaoendelea hapa... Kumbe mvutano wenu unatokana na bei mnazo tu-charge!!
 
Sasa ndio napata jibu sahihi juu ya huu mvutano unaoendelea hapa... Kumbe mvutano wenu unatokana na bei mnazo tu-charge!!
yes ni bei, mimi nakuwekeeni chini jamaa amenuna. Paje kaweka chini zaidi yangu jamaa anazidi kununa, hahaha itabidi tuwauzie ghali ili jamaa afurahi, au unasemaje?
 
yes ni bei, mimi nakuwekeeni chini jamaa amenuna. Paje kaweka chini zaidi yangu jamaa anazidi kununa, hahaha itabidi tuwauzie ghali ili jamaa afurahi, au unasemaje?

Aisee! hapa kuna kazi kweli kweli.... Mimi nili comment kwenye thread yake kama 3 weeks hivi na kumuambia bei yake ni ghali sana,wakati reseller wengine wanauza bei ya chini zaidi yake.... Ni kamwambia biashara ni ushindani hivyo atizame upya bei yake kama anataka kufanya biashara yake kwa mafanikio.... Huwezi kutupandishia bei kwa kua tu flani amesema vile, labda kama na wewe ulikuwa umepania kumkomoa, na sio kuwa ulikua umesikia kilie chetu cha mda mrefu.

Mkuu njunwa wamavoko, Nadhani unajua biashara ya soko uria inavyo fanya kazi. wenzako wameshusha bei ili kuendana na ushindani wasoko, na wewe inakubidi uangalie namna ya kuweza kushindana nao, au unaweza kuweka masimamo wako hapo hapo kwenye bei ya zamani ni uhamuzi wako tu...
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako unashindana sana mkuu unapenda hasa ligi, basi tukubalianeni sote tuuze 11,000tsh then tufute haya matangazo yote ktk jamii forums, jee unaweza hilo kutekeleza C6 hayupo mbali, tena hiyo 11,000tsh ni kwa faida ya kwako mwenyewe other wise as i told u mimi naweza uza hata 2,000 bila ya hasara angalia control panel yangu na ip address yangu ipo juu pale maana usasema kuwa ni fix tu.

Mkuu mm sitaki ushindani wala nn
Ndo maana jana nilikufuata PM kukwambia issue hiyo hapo
Mm voucher nauza 15k kama unaanza na baada ya hapo ni 10k
Lkn ilikwepa hayo yote tu maintain same price
cheki PM
 
Aisee! hapa kuna kazi kweli kweli.... Mimi nili comment kwenye thread yake kama 3 weeks hivi na kumuambia bei yake ni ghali sana,wakati reseller wengine wanauza bei ya chini zaidi yake.... Ni kamwambia biashara ni ushindani hivyo atizame upya bei yake kama anataka kufanya biashara yake kwa mafanikio.... Huwezi kutupandishia bei kwa kua tu flani amesema vile, labda kama na wewe ulikuwa umepania kumkomoa, na sio kuwa ulikua umesikia kilie chetu cha mda mrefu.

Mkuu njunwa wamavoko, Nadhani unajua biashara ya soko uria inavyo fanya kazi. wenzako wameshusha bei ili kuendana na ushindani wasoko, na wewe inakubidi uangalie namna ya kuweza kushindana nao, au unaweza kuweka masimamo wako hapo hapo kwenye bei ya zamani ni uhamuzi wako tu...
nadhani mkuu nakubaaliana na wewe, lengo la mimi kushusha bei ni nyinyi waateja wangu, so officially kuanzia sasa bei ni 9,500 na 9,000 kwa wale wa cash ambaao wapo zanzibar.
Hiyo bei nadhani ni muafaaka kwaakuwa wengi wenu huwa munnunua hizi vochaa kwa ajili ya kuwauzia naa wenzenu, mimi nimewafikiria hilo ila sijui wenzangu?
 
kubalianeni wote muuze bei moja kama ni 10 iwe constant.
CC.
Paje
munjy1
njunwa wamavoko

Last edited by a moderator:
tatizo ama naweza sababu ya mimi kushusha bei ya PDPROXY mimi ni reseller wa hii huduma kwa miaka miwili sasa, katika kugenerate vouchers nimepatiwa punguzo la 80% mpaka sasa kwa kuweza kumaintain active vouchers and customers more than 15,000 within 3 month WORLDWIDE, so nina uwezo wa kushusha bei nakakufikia elfu moja na mia tano za kitanzania 1,500tsh bila ya kupata hasara, so nimeshusha bei na kuwa 9,500 kwa kuwa maombi ya wateja wangu wa east africa ni mengi wananiomba nipunguzze bei kwana kwa muda wa miaka miwili tokea nilipopunguza kutoka 15,000 mpaka kufikia 11,000 sijapunguza bei tena.
Kwa kifupi sijashusha bei kwa ajili ya mashindano wala kwa ajili ya kumentain wateja ila ni favour tu kwa ajili ya wateja wangu, na pia nina wateja ambao wao huwauzia kwa njia ya mkopo na wanalipia kwa mwezi na ndio nikaweka wazi kuwa wao hawatopata punguzo hilo la bei.
Pia ndio kujiamini kwangu nikaweka wazi kuwa sitajibu comment ya mtu yeyote katika ile post yangu.
Kama kuna mtu anajiamini anataka mashindano naomba tuweke snapshots za RESELLER PANEL zetu, ama ajiamini kama mimi asijibu comment then tuone itakuaje, ama mimi niwape info hawa wenye mtandao ambao matobo yao kina MAVOCO wanatumia then tuaone kama watakuwa na njia nyengine mbadala, mimi najiamini kwa kuwa nishapanda mabasi yote na kila linapopinduka huwa naleta trick ya basi jenngine na watu wanaendelea na msafara, HII NI ABOUD TRANSAPORT sio SCANDANAVIAN bwanaaaaa.

Sawa Mkuuu Unajiamini!!! basi Litakalo weka Nitrous Ndo Unaamishia Abiria!!! ngoja Na Mm Nianze Kutumia Hz V2!!
 
attachment.php
 
Ni kweli mkuu niliwaahidi kuwa nitawapa trick endapo kutapatikana njia nyengine basi lilipopinduka, ila nadhani kama utarejea thread zangu za zamani hususan ya mwisho nilisema kwamba kuna basi fulani na fulani wananitrack kupitia sms zangu za simu ila nitarudi na trick kwa njia nyengine, humu kuna maspy na kuna watu ninaowaamini na ndio niliwapa kazi ya kukufikishieni ujumbe kwamba kuna basi jengine na wale ambao nimewapa direct zikuwapa setting kwa njia ya sms ila nilizungumza nao kwa njia ya simu na wengine niliwapa setup kwa njia ya email, na ndio mpaka ujumbe ukakufikia wewe na ukaweza kupata ticket ya basi liliopo safarini na linakaribia kupinduka ila musijali yapo mabasi mengi mno tu na tunasubiri hili lipinduke ili safari iendelee, for your info resellers waliopo sahivi almost karibu na wote wamepata trick kupitia maagent wangu ama kwangu mimi mwenyewe ila hawajui kama jungu kuu halikosi ukoko wanataka kuleta ashindano likiwemo hili la kukiuka masharti nilowapa kuwa wasipunguze bei chini ya kwangu, ila kwa kuwa kuna MIXED economic na free market ndio tunayotumia sisi Tanzania wana haki ya kuweka bei watakazo. Nadhani umenielewa mimi mtu hata ashushe bei vp hawezi kufikia customer support and service ninayowapa mimi wateja nadhani hata wewe unaweza kukiri juu ya hili, na ninaweza kuhamishia wateja kwa resellers wengine ili uangalie utakapopata tatizo kama utawapigia simu saa 8 za usiku uone majibu yao watakayokupa, mimi naprovide customer support 24 hours kwa wateja wangu na nakuelekeza kila kitu unafanya mwenyewe na unaendelea kukamua na kuperuzi kama kawaida
Hahahaaaa Hii IMAGE ya wateja 19,000 ndo imenichekesha na iliyo niua kabisa ni hiyo 80% Sijui siku unaweka kwa nn sikujiuliza maswali ka haya Email aliyonitumia Admin alinikubali kuwa ninazo sifa za kuwa reseller alinambia max. discount ni 45% Mkuu huenda Admin alijisahau siku hiyo Tengeneza VIDEO ya hiyo Panel basi ili kuthibitisha kuwa wewe ni AZAM wa PD PROXY Video fupi tu ioneshe jin la panel yako na Pages kwenye Active vouchers NAWASILISHA
 
5x45/100= 2.25
5-2.25=2.75
2.75x1630=4482

sasa kama munanunua 4482 why munatugonga bei hvo?
 
5x45/100= 2.25
5-2.25=2.75
2.75x1630=4482

sasa kama munanunua 4482 why munatugonga bei hvo?

Mkuu hiyo 45%discount mpaka ufikishe wateja wengi mno

mfano kuna mnigeria rafiki yangu skype ana clients active 1200 na anayo discount ya 30%

Pia bei ki-ukweli iko juu kwa sababu mm nilifuata niliyoikuta anaitumia Paje
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa haya mahesabu

kwa mwezi pd proxy wanauza 4.99usd premium ambayo ni kama 8200 ya kibongo wao reseller wanapunguziwa bei kwa asilimia 45(namnukuu njunwa) ndio nikafanya mahesabu ikaja bei ya asilimia 45 nikatoa kutoka bei yenyewe nikapata hela wanayouziwa wao
 
nyie gombaneni wee ila mwisho wa sikuhakikisheni basi lisipinduke alafu muwe mna alternative tayari siku basi likipinduka!!!,
 
Back
Top Bottom