Introducing Droid VPN

Introducing Droid VPN

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Ikiwa huduma za VPN zinazidi kupamba motto na bei inazidi kushuka kabisa
Na mm leo nakuja na DROID VPN kwa watumiaji wa Simu za Android na Tablets
Utafaidi Unlimited internet kwa bei ile ile(mm si shushi bei coz najiamini wasio jiamini ndo wanashusha)

Kwa wale ambao watanunua VPN kwa ajili ya Windows ntawapa bure settings na internet ktk simu yao 100MB Per day ambayo inatosha kwa matumizi ya kawaida

REQUIREMENTS

  • Android >v4 device if not i.e <3.x the device must be rooted
  • Droid VPN from Google playstore
  • Enjoy

attachment.php
 
  • TUN.KO Installer from Google playstore

attachment.php

Mi nahitaji tu kujua settings, situmii computer na hiyo droid vpn natumia kila siku sababu tigo wana dynamic
 
nimependa iyo ambao hawajiamini wanashusha bei, dongo kwa munjy1 na Paje nini?

C6 rekebisheni hii app ya android crush nyingi, alafu nimesanda nikifanya quotation inaquote comment ya juu yake
 
Last edited by a moderator:
tatizo ama naweza sababu ya mimi kushusha bei ya PDPROXY mimi ni reseller wa hii huduma kwa miaka miwili sasa, katika kugenerate vouchers nimepatiwa punguzo la 80% mpaka sasa kwa kuweza kumaintain active vouchers and customers more than 15,000 within 3 month WORLDWIDE, so nina uwezo wa kushusha bei nakakufikia elfu moja na mia tano za kitanzania 1,500tsh bila ya kupata hasara, so nimeshusha bei na kuwa 9,500 kwa kuwa maombi ya wateja wangu wa east africa ni mengi wananiomba nipunguzze bei kwana kwa muda wa miaka miwili tokea nilipopunguza kutoka 15,000 mpaka kufikia 11,000 sijapunguza bei tena.
Kwa kifupi sijashusha bei kwa ajili ya mashindano wala kwa ajili ya kumentain wateja ila ni favour tu kwa ajili ya wateja wangu, na pia nina wateja ambao wao huwauzia kwa njia ya mkopo na wanalipia kwa mwezi na ndio nikaweka wazi kuwa wao hawatopata punguzo hilo la bei.
Pia ndio kujiamini kwangu nikaweka wazi kuwa sitajibu comment ya mtu yeyote katika ile post yangu.
Kama kuna mtu anajiamini anataka mashindano naomba tuweke snapshots za RESELLER PANEL zetu, ama ajiamini kama mimi asijibu comment then tuone itakuaje, ama mimi niwape info hawa wenye mtandao ambao matobo yao kina MAVOCO wanatumia then tuaone kama watakuwa na njia nyengine mbadala, mimi najiamini kwa kuwa nishapanda mabasi yote na kila linapopinduka huwa naleta trick ya basi jenngine na watu wanaendelea na msafara, HII NI ABOUD TRANSAPORT sio SCANDANAVIAN bwanaaaaa.
munjy1 Licha ya kueleza hayo yote mkuu nimekuelewa vizuri sana... Tatizo lako umelewa mafanikio mkuu, mimi ni moja ya wateja wako wa mwanzo kabisa, natulikuwa tunashirikiana vizuri tu hadi ilipotokea ajali ya basi letu kupinduka, ulituahidi kutupa njia mpya ikipatikana, ila ukufanya hivyo hadi tukazipata kwa watu wengine.....

Ni vizuri kuwa na mawasiliano mazuri na wateja wako wa uhakika, na lugha nzuri kwa wateja, hii mambo ya kuwa siui una wateja wengi weka kando we piga biashara na hudumia wateja wako kama mwanzo... Haya mashindano mnayo leta hapa ndiyo yatakayo fanya haya basi ya pinduke na wote tukose... kutokana na ushindani wenu huu unasababisha kila kitu kuwa adharani tofauti na hapo mwanzo...

Pendekezo: CC C6 , Invisible. hizi thread zilitakiwa zikae kwenye jukwaa lile kule karibu na bondeni.... hawa wenye mabasi ni wateja wenu wa matangazo, hivyo siyo vizuri kuona wanaujumiwa kupitia site ambayo wanatangaza biashara zao, ndio hiyo hiyo inayotumika kuwahujumu tena kweupe kama hapa...

Fanyeni kama ilivyo kua mwanzo, na hata zile za kule jukwaa la matangazi mziondoe kule.
Pia hawa jamaa wanauza hizi vouche siyo vibaya jamani mkachangia na JF angalau kidogo, tunajua manatengeneza fedha nyingi tu kupitia JF hivyo msiwe wachoyo namna hiyo....
 
Last edited by a moderator:
tatizo ama naweza sababu ya mimi kushusha bei ya PDPROXY mimi ni reseller wa hii huduma kwa miaka miwili sasa, katika kugenerate vouchers nimepatiwa punguzo la 80% mpaka sasa kwa kuweza kumaintain active vouchers and customers more than 15,000 within 3 month WORLDWIDE, so nina uwezo wa kushusha bei nakakufikia elfu moja na mia tano za kitanzania 1,500tsh bila ya kupata hasara, so nimeshusha bei na kuwa 9,500 kwa kuwa maombi ya wateja wangu wa east africa ni mengi wananiomba nipunguzze bei kwana kwa muda wa miaka miwili tokea nilipopunguza kutoka 15,000 mpaka kufikia 11,000 sijapunguza bei tena.
Kwa kifupi sijashusha bei kwa ajili ya mashindano wala kwa ajili ya kumentain wateja ila ni favour tu kwa ajili ya wateja wangu, na pia nina wateja ambao wao huwauzia kwa njia ya mkopo na wanalipia kwa mwezi na ndio nikaweka wazi kuwa wao hawatopata punguzo hilo la bei.
Pia ndio kujiamini kwangu nikaweka wazi kuwa sitajibu comment ya mtu yeyote katika ile post yangu.
Kama kuna mtu anajiamini anataka mashindano naomba tuweke snapshots za RESELLER PANEL zetu, ama ajiamini kama mimi asijibu comment then tuone itakuaje, ama mimi niwape info hawa wenye mtandao ambao matobo yao kina MAVOCO wanatumia then tuaone kama watakuwa na njia nyengine mbadala, mimi najiamini kwa kuwa nishapanda mabasi yote na kila linapopinduka huwa naleta trick ya basi jenngine na watu wanaendelea na msafara, HII NI ABOUD TRANSAPORT sio SCANDANAVIAN bwanaaaaa.

Naona unajitaidi kweli wala siwezi kukufikia make unawateja wengi mno kama kweli ni Panel yako

Mkuu hapa hamna mashindano wala nn mm nauza jukwaa la matangazo na bei yangu ni ile ile
Jana nimeona unasoma uzi wangu mwanzo mpaka mwisho baada ya mods kuuleta JF Store wako pamoja na paje
Hivo ukaona hali mbaya

Nakukumbusha kuwa wewe PD Proxy ulishaishiwa mshukuru Saleh Rashid aliyekupa settings nautaona zikibuma kama utapata nyingine

Mm nimeanza kutumia PD kwa ####### kitambo sana wakati wewe uelewi lolote
Mpaka ulipooona jina la Saleh Rashid kama reseller wa Tanzania ndo ukampigia akakupa mishe
Kipindi unampigia nilikuwa naye sasa kama hujui make nipo Mabibo Hostel pale
 
Ni kweli mkuu niliwaahidi kuwa nitawapa trick endapo kutapatikana njia nyengine basi lilipopinduka, ila nadhani kama utarejea thread zangu za zamani hususan ya mwisho nilisema kwamba kuna basi fulani na fulani wananitrack kupitia sms zangu za simu ila nitarudi na trick kwa njia nyengine, humu kuna maspy na kuna watu ninaowaamini na ndio niliwapa kazi ya kukufikishieni ujumbe kwamba kuna basi jengine na wale ambao nimewapa direct zikuwapa setting kwa njia ya sms ila nilizungumza nao kwa njia ya simu na wengine niliwapa setup kwa njia ya email, na ndio mpaka ujumbe ukakufikia wewe na ukaweza kupata ticket ya basi liliopo safarini na linakaribia kupinduka ila musijali yapo mabasi mengi mno tu na tunasubiri hili lipinduke ili safari iendelee, for your info resellers waliopo sahivi almost karibu na wote wamepata trick kupitia maagent wangu ama kwangu mimi mwenyewe ila hawajui kama jungu kuu halikosi ukoko wanataka kuleta ashindano likiwemo hili la kukiuka masharti nilowapa kuwa wasipunguze bei chini ya kwangu, ila kwa kuwa kuna MIXED economic na free market ndio tunayotumia sisi Tanzania wana haki ya kuweka bei watakazo.
Nadhani umenielewa mimi mtu hata ashushe bei vp hawezi kufikia customer support and service ninayowapa mimi wateja nadhani hata wewe unaweza kukiri juu ya hili, na ninaweza kuhamishia wateja kwa resellers wengine ili uangalie utakapopata tatizo kama utawapigia simu saa 8 za usiku uone majibu yao watakayokupa, mimi naprovide customer support 24 hours kwa wateja wangu na nakuelekeza kila kitu unafanya mwenyewe na unaendelea kukamua na kuperuzi kama kawaida

Mkuu na kuelewa vizuri sana tu.... Namba/E-mail yangu zote ulikuwa nazo ila jiiiiiiiiiiii..... hapa ndio namalizia leo siku 19 zangu za premium ambazo nilikuwa nimezi pause toka mwaka jana nitakucheck kesho....

Una kumbuka mwaka jana basi lilipinduka baada ya watu kuanza kutangaza hizi vitu kwa FaceBook na wengine kudiriki kupiga simu kwa mitandao usika kuomba setting za PD. Nadhani kaeni na reseller wenzio muone namna ya kufanya hii biashara yenu kwa uangalifu ili hiii kitu isije ikabumaa tuka pata hasara sisi wateja wakati nyie mshaweka vyenu mifukono.
 
Mm nimewa-Contact wote munjy1 pamoja na Paje lkn hamna aliyenipa jibu la mahana
We should be one mm sio haja ya kutiana makucha mpaka naona munjy1 anasema anataka abumishe usafiri
Come on men
 
Last edited by a moderator:
waswahili wanasema asietambua maana haambiwi maana, so nakuomba uangalie reseller panel yangu then weka ya kwako, mimi customer wa TZ ni wa hela ya vocha tu ya simu nadeal world wide unataka njia ya kuuza world wide sema upewe usitegemee bongo sana, by the way rekebisha comment yako unapotaja jina la Kampuny za simu utakuja kulia machozi ya damu usije ukazima simu tu client wako wakianza kukutafuta kuwa basi limepata ajali, PIA MUULIZE VIZURI SALEH MADESA nani aliyempa njia zote mpaka kufikia jina lake likawepo pale then ndio endelea KUZUWA mkuu.
Tatizo bongo tunapenda kuiga deal za watu, tafuta biashara nyengine ufanye mkuu nakushauri hilo, muuza costic hawezi kushindana na chostic za bakhresa bwana usicheze na AZAM wa PDPROXY hahahaha

Mkuu simuigi mtu hapo
I see mm nauza Voucher tofauti nazako siku hizi sijajikita na PD wala nn hiyo ni by the way
Narudia tena siwezi shindana na wewe

Wewe ni Jembe mimi nika kisu tu wala sitaki fujo mie
 
Back
Top Bottom