isaack sabuni
New Member
- Aug 8, 2013
- 2
- 2
Hellow
Hahaha coments kama izi zilinifanya nisijitambulishe uku. asee..!!Mamanzi na machalii wa humu ndichi mna ngendembwee mingi mno.!!Karibu Sabunii,bila shaka utakua unatoa povu la kutosha sana
sabuni nguo chafu kibao zipo kwa ajili ya kufuliwaHellow
kwan ww unaonaje ujio wa mleta mada ? je hastahili kujibiwa kingendembwe ngendembwe ?Hahaha coments kama izi zilinifanya nisijitambulishe uku. asee..!!Mamanzi na machalii wa humu ndichi mna ngendembwee mingi mno.!!
Aisee hicho kingareroo hatari ngendembwe ndyo nini watu ya AR nomaa, wazee Wa kuprint BradhaHahaha coments kama izi zilinifanya nisijitambulishe uku. asee..!!Mamanzi na machalii wa humu ndichi mna ngendembwee mingi mno.!!
Mbona kawapa hi yechu yechu tu Ariff?au hellow ina maana gani asee?!kwan ww unaonaje ujio wa mleta mada ? je hastahili kujibiwa kingendembwe ngendembwe ?
Mapompolipo tena , byeeeHuh.!Ngendembwe mamiloo maana'ke ni Vitu vyakiraru yaani mapompolipo au Vitu negative naeza sema ivo.
Hahaaa, ndyo nini jamani mbona mnatukanaMapompolipo dadalai
Khaa..!!Kutukana tena?Hahaaa, ndyo nini jamani mbona mnatukana
Ee mama la mama yaani mambo ni Yeng'eng'e,ni Full Fululu mpaka mbulu kwa mama Lulu ani..Hii ni nchi nyingine Mamiloo yaani inaitwa United Streets of Arusha(USA)Mapompolipo tena , byeee