Hii lazima uliipenda sababu ya Tilda na kipepeo mwenzie kuchomekea mambo yenu Yale ..🤭Humo kila mtu mbabe,
Mtoto, mwanamke, mzee, mlemavu wote mkono mkono tu
Dah mnanionea sana, halafu sijui kwanini kwenye movies wakiwaweka hao hua siwazingatii kabisa tena wakianza kulambana lambana napeleka mbele, why!? they are so fakeHii lazima uliipenda sababu ya Tilda na kipepeo mwenzie kuchomekea mambo yenu Yale ..🤭
Utakuwa unaogopa watakuamshia mzuka wa hiyo mambo.Dah mnanionea sana, halafu sijui kwanini kwenye movies wakiwaweka hao hua siwazingatii kabisa tena wakianza kulambana lambana napeleka mbele, why!? they are so fake
Hapana mkuu, nimemaanisha tamthiliya ya kituruki.Mkuu unamuangalia JF member kutwa mzima?
Hapana hujanikwaza nilishazoea kukutana na mitazamo kama yako ila hukunielewa, kiufupi hua sipendi kuona watu wakizagamuana kwenye movies napenda kuangalia stories na kuielewa na sio watu wakiwa wanasex lazima nipeleke mbele kwanini? wanachofanya ni fake siwezi kupata mzuka wowote.Utakuwa unaogopa watakuamshia mzuka wa hiyo mambo.
Au
Deep down your heart haupendi yale mambo. Guilty conscience.
Nafsi inakuambia hii kitu haikubaliki ktk jamii inayo kuzunguka lakini moyo wako unapenda pia.
Utanisamehe kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo huu.
Live your life the way you want it ......
Nimekupata sasa.Hapana hujanikwaza nilishazoea kukutana na mitazamo kama yako ila hukunielewa, kiufupi hua sipendi kuona watu wakizagamuana kwenye movies napenda kuangalia stories na kuielewa na sio watu wakiwa wanasex lazima nipeleke mbele kwanini? wanachofanya ni fake siwezi kupata mzuka wowote.
hii ndiyo shida yao movie nyingi hazina mwendelezo hata SILO n.k.Hii picha niliipenda sana enzi hizo 2016! Sema kama kawaida ya picha nzuri, wanaishia njiani. Sikufaatilia tena hii picha.
hii ndiyo shida yao movie nyingi hazina mwendelezo hata SILO n.k.
Mwambie jamaa asimfananishe kabisa mwamba Ertugrul na series yoyote ile,hapa tunazungumzia maisha halisi na historia kubwa iliyowekwa na waturuki duniani,ikiwemo kuitawala dunia for more than 600yrs, we huogopi!!!!
Ujumbe ameupata sasa, na atakuwa ameelewa.Mwambie jamaa asimfananishe kabisa mwamba Ertugrul na series yoyote ile,hapa tunazungumzia maisha halisi na historia kubwa iliyowekwa na waturuki duniani,ikiwemo kuitawala dunia for more than 600yrs, we huogopi!!!!