Interview ya Mafunzo ya Umeme VETA

Interview ya Mafunzo ya Umeme VETA

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
323
Reaction score
368
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical Instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani yanayo ulizwa ikiwa kama yanahusu umeme?

Maana ndio first time kutaka kusomea umeme.
 
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani yanayo ulizwa ikiwa kama yanahusu umeme? maana ndio first time kutaka kusomea umeme

Kuhusu maswali sifahamu. Ila umefanya safi sana , akitoka na ujuzi hawez kulala njaa.
 
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical Instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani yanayo ulizwa ikiwa kama yanahusu umeme?

Maana ndio first time kutaka kusomea umeme.

Veta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu
 
Yah ni tarehe 1/10/2020 mchujo!!!alafu masomo ni january!!sasa duu hizo hesabu sijui zitakuaje maana hata hazijulikani za wapi!!maana uyu dogo mmh
 
Veta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu
VETA nao wana-complicate tu fundi msoma mita kiingereza Cha nn?
 
Veta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu
Mkuu naomba niulize...

Kwa mtu ambae anataka kwenda kusomea short kozi ya uendeshaji mitambo mfano kama scaveter na mengine Yale. ...
ni lazima awe na msingi wa udereva labda au chochote ....
maana dogo ni fresh from school .....

Mwenye kufahamu pia tafadhali tusaidiane
 
Naombeni kujua wakubwa hiv majibu ya kujiunga na veta yanarushwa online au unaenda kuangalia veta mana nilifanya mtihan wa kujiunga veta chang'ombe mwez wa kumi
 
Back
Top Bottom