Interview ya kujiunga na chuo Cha debrecen Hungary

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
61
Reaction score
89
Habari za wakati huu wadau wa JF
Naomba kwa yeyote ambae alishawahi kufanya entrance exam kwenye chuo hiki naomba anipe muongozo na mitihani inavyokuwa

Pia kwa ambao wanasoma chuo hiki naomba mnipe dodoso kuhusu maisha ya uko , ugumu na uwepesi wa hiki chuo na n.k

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…