Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

Jamani ivi amjasikia kama udsm wameita watu interview mana walito nafasi alafu wamepiga kimya.Wadau mnaniambije kuusu hivi
 
Mie wala sijaitwa....na nilivyokwisha omba kazi sehemu nyingi hata sikumbuki niliwaomba kazi gani...wakiniita pouwa tu, wakinitosha Mungu awazidishie pia...Mtakaopata mtukumbuke na sie kwenye ufalme wenu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom