Interview TPDC

Interview TPDC

Thanks for da info.. jamani tukutane mchana wote tutaofanyA marketing... ila maswali yanatoka hu.u humu kwa marketing jamani.. tujiandae kwa sala na kusoma.. finger crossed...
 
Usiwe na mawazo ya hivyo hiyo ni riziki kama Mungu amepanga upate utapata tuuuu!Lakn kma hajakupangia pia unaweza ukaficha maswali na yasikusaidie.@
Blackgold engineer
 
best wishes mnaopiga pepa kesho, mkitoka msisahau kututonya
 
...dah, na mimi hafu nimeitwa aisee tarehe 09 saa 8 mchana aisee...
 
Swali: Ukishuka tu Ubungo Bus Terminal, kuipata Msimbazi Centre unapanda daladala za wapi? Kuna Lodge/Guest za bei chee mitaa hiyo? Au hapo ni ghali sana? Maana nimeitwa hiyo Tar 09 saa 8 mchana, kama kuna mtaa wa karibu ambao usafiri kufika hapo hautasumbua nielekezwe basi nikachukue affordable chumba hapo...

Usije Mjini
 
panda magari ya mnazi mmoja au ya kariakoo yanayopita mandela road au buguruni, mumambie konda akushushe kituo kinaitwa boma, usivuke barabara tembea kuelekea mbele linakoelekea gari uliloshuka hatua kama mia hivi utakutana na makutano ya barabara, hapo usivuke barabara wala nini kata kushoto kwako ambaa na hiyo barabara ni vituo viwili kutoka hapo makutano ya barabara, unaweza ukapanda daladala au ukatembea sio mbali. utakuwa umefika msimbazi senta.
 
accountant II mambo yameiva, saa nane ndo hiyo
 
Dah nyomi balaa

Naona mabosi nao wamekuja na mi prado yao duuh!

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Wakuu mliofanya interview tayari tuhabarisheni yaliyojiri tujiandae na nn??
 
Back
Top Bottom