Interview TPDC

Interview TPDC

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
Wale wote mnaohusika na hili jambo mko wapi? mbona kimya, tupeni posible hasa mliokuwa kwenye ile ya mwaka jana, writen inakuwaje? na oral pia wanauliza maswali ya aina gani? unaweza ukaushangaa nauliziaje habari za oral wakati writen bado sijapita, ni kwamba ukifanya writen ukapita, kesho yake ni oral, so ukibahatika kupita hutakuwa na mda wa kutosha kuulizia hili jambo, ni vizuri kujiandaa mapema.
 
kumbe, acha na nikajaribu!
 
Jamani kwa wale wanaofanya tar.9 ni asubuhi au mchana nOmba kujuzwa please
 
9th April 2014:-
10.00am- 12.00 noon Planning Officers II Geochemist II,
Palynologist II, Petroleum Engineer II and Micropalaentologist II
2.00pm- 4.00pm Marketing Officer II, and Geologist II,
Msimbazi Centre

Jaribu sasa kuangalia uko kwenye kundi gan na utafanya muda gani.....
 
procurement officer II wanafanya lini na saa ngapi mkuu?
 
Iko hivi...usaili wa TPDF ni ngumu kwa kuwa una mlolongo wa vitu vingi usivyojua. Kwanza kuwa tayari kujishusha uwe kama taahira. Ukubali kukaa chini mchangani na degree zako. Mazoezi ya viuongo yoga imesingiziwa. Uwe na kifua kigumu maana mie nilikimbizwa km8 mbio za nyika kisha kuchura cha maana...then kuvuliwq nguo zote ilu kuwakagua akina cameroon then utakuwa fine. Pangu Pakavu.
 
tuambie wazi mkuu. tusibaniane, maswali yanakuwaje hasa
 
Iko hivi...usaili wa TPDF ni ngumu kwa kuwa una mlolongo wa vitu vingi usivyojua. Kwanza kuwa tayari kujishusha uwe kama taahira. Ukubali kukaa chini mchangani na degree zako. Mazoezi ya viuongo yoga imesingiziwa. Uwe na kifua kigumu maana mie nilikimbizwa km8 mbio za nyika kisha kuchura cha maana...then kuvuliwq nguo zote ilu kuwakagua akina cameroon then utakuwa fine. Pangu Pakavu.
mkuu umechanganya apo watu wanaongelea tpdc tanzania petroleum development corporation co tpdf,,,
 
Mkuu km ww ni procurement tafut masw ya bodi.nilickia kw waliofany last time.achen ubinafsi adui bongo?!kla mtu na bahat yke.
 
Iko hivi...usaili wa TPDF ni ngumu kwa kuwa una mlolongo wa vitu vingi usivyojua. Kwanza kuwa tayari kujishusha uwe kama taahira. Ukubali kukaa chini mchangani na degree zako. Mazoezi ya viuongo yoga imesingiziwa. Uwe na kifua kigumu maana mie nilikimbizwa km8 mbio za nyika kisha kuchura cha maana...then kuvuliwq nguo zote ilu kuwakagua akina cameroon then utakuwa fine. Pangu Pakavu.

Upo less mbaya kiongozi...TPDF!
 
tatizo tukitoa siri hata sisi tutakosa,,kila mtu ni adui kwa mwenzake katika interview...

hamna member wa jf aliyepata kazi pale tpdc mwaka jana atuambie jaman, maana wengine wanaogopa wanataka kupunguza ushindani.
 
Mkuu km ww ni procurement tafut masw ya bodi.nilickia kw waliofany last time.achen ubinafsi adui bongo?!kla mtu na bahat yke.

ni kweli mkuu, hata mimi nimelisikia, tatizo sasa lipo kwenye oral
 
procurement officer II wanafanya lini na saa ngapi mkuu?

10th April 2014:-
10.00am- 12.00 noon Procurement Officer II and Plant Manager
2.00pm- 4.00pm Stores Officer II and Process Engineer (Plant
Superindent)
Msimbazi Centre

Nami niko hapo ndugu kwa Procurement Officer II, tutafanya wote.....best wishes
 
Back
Top Bottom