Hawa Ma HR sijui wanafanya vipi kazi zao kufanya shortlist ya watu saa zingine, me nadhani wanahita wote tu uwanja uwe wako! kwa siku watu wanafanya mara 3
Hawa Ma HR sijui wanafanya vipi kazi zao kufanya shortlist ya watu saa zingine, me nadhani wanahita wote tu uwanja uwe wako! kwa siku watu wanafanya mara 3
Usije tuu hata Hawa waliyopo nao ni wengi Sana Tena Sana na ni bench ya 11:00am-12:00am ,,bado Kuna bench ya 8:00pm -9:00pm bado wale wa asubuhi, wale wa kesho na wale wa Janaππππ Yani kama hauko dar usije tuu komaa huko huko mkoani
Aisee maswali ni ya kawaida tu mkuu General questions hadi hesabu za kujumlisha na kutoa zinakuwepogi, ntahudhuria pia kwa mara nyingine! Ila nikikumbuka tulivokua wengi vile duh
wanao fanya watu waonekane wengi ipo ivi
kuna watu wapo sehemu wanakazi zao ila waliomba na kuitwa ili kubadili kazi au maslai
so ingekuwa wanaenda craduate tu ingekuwa gud
mi nimewachia wadogo zangu ila zikitangazwa kubwa za serekali tutaelewana