Interview SUMATRA

Interview SUMATRA

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Heshima Mbele Wanajamvi!!

Napanda jukwaani mnitoe tongotongo. Mwezi July bila shaka Hawa Sumatra walitangaza nafasi za kazi, kwa bahati mbaya nikasafiri kwenda kijijini huko. Sasa ndo nimerudi mjini,naomba kujuzwa kama washaita watu kwenye usaili au bado ili kama bado niendelee kujikoki.

Ni hayo tu!
 
soon people will be shortlisted stakeholder,try to exercise some patience!
 
Heshima Mbele Wanajamvi!!

Napanda jukwaani mnitoe tongotongo. Mwezi July bila shaka Hawa Sumatra walitangaza nafasi za kazi, kwa bahati mbaya nikasafiri kwenda kijijini huko. Sasa ndo nimerudi mjini,naomba kujuzwa kama washaita watu kwenye usaili au bado ili kama bado niendelee kujikoki.

Ni hayo tu!

Mimi mwenyewe nahisi watu washaanza kazi haiwezekani miezi yote 3 wasishotlist au wanatafuta HR kwanza ndio sio wazee wa field tuitwe twende simiyu kuchukua chetu mapema kama diwani mfungwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom