Mi-Nawaza-Tu.
Member
- Nov 12, 2013
- 7
- 2
hawa jamaa vp mbona kimya tu au ndo wametuchinjia baharini?
Alaah..mzee kwema?
hawa jamaa vp mbona kimya tu au ndo wametuchinjia baharini?
"ukiwa mnafiki ujanani,uzeeni utakuwa mchawi" acha kusambaza taarifa zisizo sahihi na juu ya yote usilisemee usilolijua kwa uhakika.PPF bado hawajaita watu kazini,interview bado zinaendelea na ya mwisho walifanya tarehe 24/07/2015.Watu wapo kazini tayari
Ukiona kimya pia ujue hukubahatika, kuna mtu kanitonya watu wanafanyiwa oral saiv (operation)
Oral kwa post ya Contribution trainee tulishafanya trhe 10/07/2015 ijumaa pale PPF-HOUSE Flow ya 11Ppf bado hawajaita watu kwa ajili ya oral bado wapo kwenye mchakato..kuweni na subra vijana
Na nafasi ya operations trainee tulifanya oral the same date 10/07/2015 ijumaa saa nane mchnOral kwa post ya Contribution trainee tulishafanya trhe 10/07/2015 ijumaa pale PPF-HOUSE Flow ya 11
Interview haindeshwi kwa utaratibu kama ule ppf...hata mamluki anazama anajifanyia pepa anasepa,hakukuwa hata na list za majina za kusaini,tuliandika majina badala ya kupewa namba simple kumpendelea mtu wamtakaye.
Ukiona kimya pia ujue hukubahatika, kuna mtu kanitonya watu wanafanyiwa oral saiv (operation)
Na nyie si mngetoa taarifa mapema? Mwezi mzima mmepiga kimya hata kuwajulisha Wana forum kwamba wameshaita?Jaman bado hawajaita kazin till now..but oral interview ilishafanyika 10/7/2015 kwa nafas zote pale PPF house floor 11
Na nyie si mngetoa taarifa mapema? Mwezi mzima mmepiga kimya hata kuwajulisha Wana forum kwamba wameshaita?